Sondag, Junie 17, 2018

OTTILIA KUTOKA NJOMBE AULETA MKOA MPYA

NJOMBE 
Na chrispin kalinga 

Mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili  Anaye julikana kwa jina la Ottilia Mfikwa katika wilaya ya njombe mkoani njombe amezungumza na chombo chetu cha habari juu ya
ujumbe ulio bebwa kwenye albam yake ya kwanza inayo fahamika kwa jina la NIBADILISHE amesema kuwa lengo la kuimba wimbo huo ni kutoka eneo moja kuingia eneo lingine.

hali kadhalika mwimbaji huyo amesemea kuwa kuuimba wimbo huo ni kutokana na maisha yake aliyo kuwa akiyaishi lakini baada ya kumkabidhi Mungu wake maisha akabadilishwa kutoka sehemu moja na nyingine.

sambamba na hayo mwimbaji huyo amesema kuwa kipawa cha kuimba alianza kuimba tangu akiwa na umri wa miaka kumi na na moja akiwa shule ya msingi.

hata hivyo Ottilia amesema kuwa kusudi kubwa la kuimba nyimbo za injili ni kumtumikia mungu na kuwafikishia watanzania injili haswa kwa watu wote ili wabadilishwe kutoka mahara pamoja kuingia mahara pengine.

pia amesema kuwa ameamua kutoa video ya wimbo wake mmoja tu ili watu waendelee kupata injili kwenye maeneo mbalimbali haswa kwenye mitandao ya kijamii.
lakini pia mwimbaji huyo amesema kuwa licha ya mafanikia hapakosi changamoto akakieleza chambo chetu cha habari kuwa maisha ya mziki yanahitaji fedha haswa katika uandaaji wa kazi hizo na ameongeza kwa kusema kuwa anawaomba watumishi watu binafsi kumsaidia kupata mdhamini atakaye weza kuisapoti kazi yake haswa katika kazi hii ya uimbaji wake kusonga mbele.

wasiliana naye kwa FECEBOOK :OTTILIA MFIKWA
YOUTUBE: OTTILIA MFIKWA
PHONE NO:0763929500

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking