Vrydag, Junie 22, 2018

SPIKA WA BUNGE MSTAAFU AFIWA NA MAMA YAKE MDOGO MKOANI NJOMBE

Image result for anna makinda


NJOMBE
Na Chrispin kalinga
leo June 22.2018 Spika wa Bunge mstaafu Mweshimiwa ANNA MAKINDA ameudhulia kwenye  msiba wa Mama yake Mdogo  aliye julikana kwa jina la Aluwa Ngole ulio tokea mkoani Dar es Salaam na kusafilishwa kuludi MkoaniNjombe.


 Msiba huo ukiwa umekusanya watu mbalimbali nyumbani kwa marehemu mkoani njombe mjini mtaa wa nzenge kwenye paka wa kiwanja cha ndege wakati huo maremu alikuwa akiishi mkoani Dar es Salaam na mauti yalimkumba akiwa mkoani humo.

Katika hatua nyingine ndugu wa marehemu wamezungumza na chombo chetu cha habari na kusema kuwa licha ya marehemu kuishi mkoa mwingine lakini nyumbani kwake aliko zaliwa ni  mkoani njombe.

Hata hivyo walizidi kusema kuwa  ALUWA NGOLE alikuwa akisumbuliwa kwa muda mlefu huku akiendelea kupata matibabu sehemu mbalimbali na siku ya jumatano ya tarehe 20.06.2018 umauti ukamfika  majira ya saa saba mchana.



Mubashara blog inawapa pole wale wote walio fikwa na msiba huo roho yake ilale mahala pema peponi.

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking