Sondag, Maart 31, 2019

FARAJA YA MAJI MKOANI NJOMBE IPO PEUPE


NJOMBE.
Image result for MAJI NJOMBE

NA AMIRI KILAGALILA

Mamlaka ya Maji Njombe Mjini NJUWASA imesema  kufuatia kuwepo kwa Changamoto ya Maji ndani ya Mji wa Njombe Serikali inamkakati wa Kujenga Mradi Mkubwa wa Maji kwa Ufadhili wa Serikali ya India ili kuhakikisha kuwa Wananchi wanapata Huduma ya uhakika na ya kudumu.

Vrydag, Maart 29, 2019

USHIRIKANA WAPAMBA MOTO MKOANI NJOMBE

Image result for USHIRIKINA
PICHA YA MTANDAONI.
NJOMBE.
TAARIFA  NA AMIRI KILAGALILA
Vitendo vya kishirikina vinavyofanywa na baadhi ya wananchi wilayani Makete mkoani Njombe dhidi ya watumishi wanaopelekwa na serikali ama kwa wananchi wenzao vimekemewa vikali na mkuu wa wilaya ya Makete

MUBASHARA BLOG INATOA POLE KWA UPLANDS FM PAMOJA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI

Image may contain: 1 person, standing

uongozi wa Mubashara Blog unatoa pole kwa Uplands Fm pamoja na ndugu jamaa na marafiki kwa kufikwa na msiba wa  SHABANI LUPA ambaye alikuwa Mfanyakazi wao