KWA WALE AMBAO WATAHITAJI KUKUTANA NA DOCTAR MWAKALINGA WASILIANA NAMI 0753121916 KWA MASHART NAAFUU
Je, nina mimba?
Kuna baina ya wanawake wenye huonyesha dalili za mimba punde tu katika wiki kadhaa baada ya kushika mimba. kuna maswala mengi Kuhusu upataji mimba na ni siku gani mwanamke anaweza kupata mimba. Hebu tujadiliane kwa ufupi. Hedhi yaani mensturation period, ni wakati mwanamke anaweza kujua ya kuwa hana mimba.
Damu inayotoka wakati huu huwa nyekundu. Damu hii hutoka kila mwezi kwa wanawake walio na mzunguko wa kawaida. Pia damu hii huchukua siku tatu hadi tano kwa wale wenye mzunguko wa kawaida. Unapokosa hedhi, haswaa wakati umeshirikiana ngono, Kuna chanzo kubwa ya kuwa umeshika mimba.