Sondag, Februarie 04, 2018

Waziri Mkuu: Serikali kuimarisha masoko ya mazao

 
 Na chrispiny kalinga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija.

Taarifa iliyotolewa jana Februari 3, 2018  na

Rais Magufuliafanya kitu alicho kuwa ametolea ahadi yake kwa kampuni ya Bakhresa

 
 Na Judith Mhina – MAELEZO
 
 Agizo la Rais John Pombe Magufuli la kuipatia Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group LTD ardhi yenye ukubwa wa ekari 10,000 kwa ajili ya

AG mpya Anena maneno mazito sekta ya sheria

 

Na Fatma Salum-MAELEZO
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi ameahidi kufanya kazi kwa bidii ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Sheria hapa nchini.

Wafanyakazi waanza kukatwa mishahara kufadhili uchaguzi wa 2020

 

Wafanyakazi wa umma nchini Burundi wameanza kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kwaajili ya kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa

Freeman Mbowe, Polepole wamjibu Zitto Kabwe Kuhusu kusitisha kampeni

 

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema kipindi hiki cha msiba wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru ndicho cha

Rais Magufuli mgeni rasmi misa ya kusimikwa Askofu mteule Jackson kuwa Askofu wa tano wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam

 





 Rais John Magufuli ni mgeni rasmi katika misa ya kusimikwa Jackson Sosthenes kuwa askofu wa tano wa Kanisa  Anglikana

Waziri Nchemba: Vitambulisho Vya Taifa Vitaondoa Mapingamizi Ya Uraia Katika Chaguzi

 
 Na Tiganya Vincent-rs Tabora
 
Vitambulisho wa uraia vitasaidia kuwa na utambuzi wa wananchi utakao ondoa ile tabia ya baadhi ya watu kutilia mashaka wakati wa

ZAO HILI LINAPATIKA HAPA NCHINI ILA DAAH

 Tokeo la picha la pilipilihttps://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSEuae0cIjnoeX2a7tUiDCVLq4AK-slpPSqq2yGAVkUc0hyJZ9t
 Zao hili la pilipili nizao ambalo wataalam wa Afya wanakuambia kuwa ukilitumia mara nyingi huwa linasaidia kuongeza joto mwilini lakini ukilitumia vibaya huleta madhara makubwa katika mwili wa binadamu .
 
bado wataalam hawa wanatuambia kuwa

HII NAYO KALI YA MWAKA Jamaa atia Pilipili kali kwenye nguo za ndani za Mkewe

Tokeo la picha la pilipili

Kuna stori nikizipata uwa lazima nihakikishe nakusogezea sasa hii ni ya

JE WAMJUA
















































 Nimnyama wa kipekee ambaye

ONYO: Mwanamke Mwenye mimba asinywe hii dawa Tafadahali sana.




Sababu ya Acidity
• Uvutaji wa sigara kwa wingi
• Kunywa pombe kupita kiasi
• Vidonda vya tumbo

Vyakula vya wagonjwa wa UKIMWI



Ingawa vita dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) vinaendelea kushika kasi huku utafiti wa kuipata chanjo itakayoutokomeza ugonjwa huu ukiendelea kwenye mataifa mbalimbali duniani,

Dalili Hizi Zinaashiria Maambukizi ya Virusi vya UKIMW


Watu wengi wamekuwa ni waoga sana wa kupata vipimo vya ugonjwa kutokana na madhara ya kisaikolojia yanayojitokeza baada ya kujua kuhusu ugonjwa, wengi huamua kubaki kwenye hali ya sintofahamu.