Sondag, Februarie 04, 2018

ZAO HILI LINAPATIKA HAPA NCHINI ILA DAAH

 Tokeo la picha la pilipilihttps://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSEuae0cIjnoeX2a7tUiDCVLq4AK-slpPSqq2yGAVkUc0hyJZ9t
 Zao hili la pilipili nizao ambalo wataalam wa Afya wanakuambia kuwa ukilitumia mara nyingi huwa linasaidia kuongeza joto mwilini lakini ukilitumia vibaya huleta madhara makubwa katika mwili wa binadamu .
 
bado wataalam hawa wanatuambia kuwa
tunda hili la pilipili  kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo si vyema akatumia maana linaweza sababisha madhara makubwa 

sehemu nyingine tena  niliambiwa kuwa tunda hili bwana kwa mama aliye jifungua ni zuri kulitumia swali la kujiuliza ni hili apo...mtu mwenye baridi anawezaulitumia na akapata joto ......
 
Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking