Woensdag, Februarie 07, 2018

Prof. Kabudi asema hakuna mgongano wa Katiba Bara na Visiwani

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema hakuna mgongano mkubwa wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba ya Zanzibar unaosababisha ongezeko la kero za Muungano.

Madiwani watatu Chadema wahamia CCM

 Chadema katika Halmashauri ya Tunduma, wilaya ya Momba mkoani Mbeya kimepata pigo baada ya madiwani wake watatu kuhamia CCM.

Msukuma Ampa Makavu Waziri Bungeni

Mbunge na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemshambulia kwa maneno Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina juu ya 'operation' anazozifanya za kionevu za kupambana na uvuvi haramu kwa kumwambia aache kufanya kazi kwa mihemuko

Serikali yawapokonya pasipoti maofisa 15 wa Nasa

Serikali imeamua kusitisha hati za kusafiria za viongozi kadhaa wa ngazi ya juu na wanasiasa wafuasi wa muungano wa upinzani wa Nasa ikiwemo ya gavana wa Mombasa, Hassan Joho.

Aliyemuapisha Raiila Odinga afukuzwa nchini Kenya

Serikali ya Kenya imemfukuza kwa nguvu na kumsafirisha kwenda nchini Canada mmoja wa viongozi wa upinzani Kenya, Miguna Miguna usiku wa kuamkia leo Februari 8 baada ya mahakama kudai aachiwe huru.

Prof. Kabudi: “Hakuna mgongano wa kimamlaka katika katiba ya Tanzania na Zanzibar”

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA
Serikali imesema Kikatiba hakuna mgongano wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katiba ya Zanzibar unaosababisha ongezeko kubwa la kero za Muungano na mgongano wa kimamlaka baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais Magufuli azindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 06 Februari, 2018 amezindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi (Comprehensive Training Center – CTC) kilichopo Mapinga katika Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.

Hizo Ndio Sababu Kwanini Pete Ya Immoring Inapendwa Na Watu Wengi.


Na. Dokta  Mungwa  Kabili …………….0744   000  473.
Pete  ya  Immoring  ni  pete ambayo  imejizolea  umaarufu  mkubwa  sana  miongoni  mwa  wakaazi mbalimbali  wa   nchi za  Afrika  Mashariki  na   Ukanda  wa  Maziwa  makuu  kwa  ujumla.

Mbunge Chadema ahoji utekelezwaji sera ya matibabu bure kwa wazee


Mbunge Viti Maalum Jimbo la Morogoro (Chadema), Devotha Minja ameihoji serikali juu ya utekelezwaji wa sera ya huduma ya matibabu bure kwa wazee.

Mlima Kilimanjaro waingiza bilioni 471


Serikali imesema hifadhi ya Mlima wa Kilimanjaro katika kipindi cha miaka kumi kuanzia mwaka 2007 hadi 2017 imeingiza mapato ya Shilingi Bilioni 471 kupitia shughuli za utalii.

Habari Ziliizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya February 7





Chrispiny kalinga blog

Dinsdag, Februarie 06, 2018

BLOG holder AFUNGUKA

Picha ya Mwamwa Kalinga Chrispin
The reader of the blog Chrispin Kalinga blog I would like to wish you a good night but also a good reading of the various reports all corners of the world do not forget to tell with a colleague on the blog loved adverts and information.

WAKAZI WAMFULAHIA MKUU WA MKOA WA NJOMBE

Tokeo la picha la MKAATokeo la picha la MKAA

Tokeo la picha la MKAATokeo la picha la MKAA