Dinsdag, Februarie 06, 2018

WAKAZI WAMFULAHIA MKUU WA MKOA WA NJOMBE

Tokeo la picha la MKAATokeo la picha la MKAA

Tokeo la picha la MKAATokeo la picha la MKAA


Tokeo la picha la MKAATokeo la picha la MKAA
Ikumbukumbukwe hivi kalibuni mkuu wa mkoa wa njombe ChristophaOlesendeka Alipo kuwa katika ziara yake ya kikazi mkoani hapo katika wilaya ya ludewa na kata ya mlangali alimwagiza mkuu wa wilaya ile mh,Andrea Tsere kusimamia na kuhakikisha wafanya biashara wadogo kuto tozwa ushuru wa mkaa kwenye wilaya hiyo na mkoa kwa ujumla.

Hali kadhalika wafanya biashara wa Wilaya ya njombe mjini katika mtaa wa sido wamezungumza na waandishi wetu wa habari juu  ya uamuzi ulio chukuliwa na mkuu wa mkoa huo kwa madai kuwa yupo sahihi na umewafanya wafanya biashara hao waanze kupata faida kupitia  iuuzaji wa mkaa.  

wakazidi kusema kuwa ni kweli mkuu huyo ametazama mbali kwa kufanya hivyo kwasababu ushuru walio kuwa wanautoa ni tofauti na faida waliyo kuwa wanaipata.

katika nafasi nyiongine mkuu huyo alisema:

 Mh, Mkuu wa Mkoa wa Njombe Pia Amepiga marufuku Halmashauri ya wilaya ya Ludewa kuwatoza Ushuru wafanyabiashara wadogo wa Mkaa ambao awali halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ilikuwa ikiwatoza ushuru wauzaji hao wa Mkaa zaidi ya Tsh, 300,000 kwaajili ya Leseni ya kufanyia Biashara hiyo ya Mkaa na Kumuagiza mkuu wa wilaya ya Ludewa Mh, Andrea Tsere kusimamia maagizo hayo ya mkuu wa Mkoa. "Mtu alipanda miti yeye mwenyewe kwa gharama zake na wakati anapanda hakuna hata mtumishi wa serikali aliyemsaidia anauza mkaa wake Debe moja au mbili rejareja huko vijijini halafu uje umwambie alipe kibali 300,000/= Kwa Mkoa wangu wa Njombe nasema Hapana labda wale wanaosafirisha kwa magari makubwa hao ndio walipe maana hao wanamtaji Mkubwa Namwambia aliyewaambia mlipe hiyo pesa iwe mwisho na Uzeni Sana Hakuna mtu atakae wagusa, Narudia Uzeni Sana Hakuna Mtu atakaye wagusa.  

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking