Dinsdag, Maart 13, 2018

“Wema hana Kesi ya kujibu” -Msando

Image result for wema sepetu

Jana March 12. 2018 Wakili Alberto Msando ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa atawasilisha hoja ya kwamba Msanii Wema Sepetu anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na msokoto wa Bangi kwamba hana kesi ya kujibu.
Msando

Jina na idadi ya nyimbo zitakozokuwa katika album mpya ya Rose Muhando April 1

Image result for rose muhando
Muimbaji wa gospel Rose Muhando wote tunafahamu kuwa alikuwa

AGRICULTURE OFFICER – FAO,

AGRICULTURE OFFICER – FAO
FAO is seeking for suitably qualified and experience person to undertake the following assignment under the FAO programme in Tanzania
NATIONAL CONSULTANT – AGRICULTURE OFFICER – POST



FAO will work with other UN agencies to implement agriculture theme under the Kigoma Joint Programme, the main objective of the agriculture is increase farm income of smallholder farmers in agriculture while lowering the risk of investment and increasing the private engagement
Reporting lines

Furusa za kazi kwa walimu

Image result for AJIRA



*NAFASI ZA AJIRA KWA WALIMU: SHULE YA SEKONDARI BERTHAIDA,DAR ES SALAAM*

🔘 *WALIMU WA PHYSICS*
🔘 *WALIMU WA CHEMISTRY*
🔘 *WALIMU WA BIOLOGY*
🔘 *WALIMU WA HISTORY*
🔘 *WALIMU WA CIVICS*
🔘 *WALIMU WA KISWAHILI*
🔘 *WALIMU WA ENGLISH/LITERATURE*

*JINS YA KU-APPLY*

Stormy Daniels: Mwanamke mcheza filamu za utupu anayemtishia Donald Trump

Michael Cohen anaripotiwa kumlipa Stormy Daniels dola 130,000 mwaka 2016Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMichael Cohen anaripotiwa kumlipa Stormy Daniels dola 130,000 mwaka 2016
Baada ya hapo anasema waliendelea kuwasiliana kwa miaka kadhaa, Bi Daniels anasema mara ya mwisho kuwasiliana ilikuwa mwaka 2010, wakati alipoahirisha kugombea useneta.

Mkutano wa Kenyatta na Odinga umezua mgawanyiko katika upinzani Kenya?

Viongozi wa upinzani wa NASA nchini Kenya wakiongozwa na Raila OdingaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga walipokutana ghafla Ijumaa na kuahidi kuweka kando tofauti zao kwa maslahi ya taifa, hilo lilitazamwa na wengi kama ishara ya mwisho wa wingu la siasa ambalo limegubika taifa hilo tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwaka jana.

Theresa May: Urusi imehusika kumshambulia Sergei Skripal

May anasema matukio kama hayo yanaaribu taswira ya nchi
Image captionMay anasema matukio kama hayo yanaaribu taswira ya nchi
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amasema kuwa serikali yake ina amini kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa Urusi imehusika katika shambulio la mpelelezi wa zamani wa Urusi Sergei Skripal na mtoto wake wa kike, lilitokea kusini mwa Uingereza katika mji wa Salisbury.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya March 13

Asley asaema “Sina Mahusiano Ya Kimapenzi na Nandy”-

Mwanamuziki wa Bongo fleva Anayezidi kufanya vizuri hivi sasa Aslay amefunguka na kusema hana Uhusiano wowote wa kimapenzi na msanii mwenzake Nandy.

Zari: Natafuta Pesa, Sina Muda wa Kutafuta Mpenzi Mpya

Zari ameibuka na jipya tena huku safari hii akisisitiza kuwa wale wanaume wakware wote waliopanga foleni kusubiri penzi la Zari hawana nafasi kwani hana muda wa kuwa na mpenzi kwa sasa.

Maandag, Maart 12, 2018

Urusi yafanya jaribio la Kombola lisilozuilika

Urusi imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la kombora lisiloweza kuzuilika ambalo ni miongoni mwa makombora yaliyotangazwa na Rais wa nchi hiyo, Vladmir Putin katika kampeni zake.

Sisafiri kwenda nje kwa sababu sio jimbo langu- Rais Dkt. Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa anapokea mialiko mingi kutoka nje ya nchi lakini amesema hawezi kusafiri kwenda huko kwasababu sio jimbo lake.

Dogo Janja afunguka sababu ya kupangiwa ratiba ya 'unyumba' na mkewe.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo Janja ambaye ni mume halali wa muigizaji wa filamu bongo Irene Pancras Uwoya, ameweka wazi