Sondag, April 08, 2018

NAFASI ZA MASOMO KWA WOTE HIZI HAPA


OFA KWAAJILI YAKO
TANGAZO
Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Eckros School of Journalism
kinakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2018-2019 kwa kozi
zifuatazo kwa ngazi ya cheti.

TUCTA Nao Wataka Watumishi Darasa la 7 Warudishwe Kazini

mpekuzi.
Baraza Kuu la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) jana Jumamosi Aprili 7, 2018 limetoa tamko lenye mambo saba, likiwemo la kupinga uamuzi wa Serikali kuwafuta kazi watumishi wake wenye elimu ya darasa la saba.

Viongozi wa kitaifa wapo wakizungumzia maendeleo yaliyoachwa na Rais wa kwanza Z'bar

Viongozi wa Kitaifa kutoka Zanzibar na Tanzania Bara wamesema Watanzania wanaendelea kumkumbuka Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume kutokana na Maendeleo makubwa aliyoyafanya wakati wa Uongozi wake miaka minane na kufanikiwa kuacha historia isiyofutika kwa kufanikisha Mapinduzi ya Zanzibar na tukio la kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania April 26, mwaka 1964.

Saterdag, April 07, 2018

Rais Magufuli aliagiza kujengwa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite mwaka janaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionRais Magufuli aliagiza kujengwa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite mwaka jana
Rais John Magufuli wa Tanzania,amezindua ukuta wa machimbo ya madini ya Tanzanite, yaliyopo eneo la Mererani, kaskazini mwa nchini Tanzania.

Nyota wa filamu za kihindi Salman Khan apata dhamana

Utetezi uliotolewa na mashaidi haukuaminikaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionUtetezi uliotolewa na mashaidi haukuaminika
Muigizaji nyota wa filamu za Bollywood Salman Khan,amepewa dhamana siku mbili baada ya mahakama kumpa hukumu ya miaka mitano jela kwa kuua aina mojawepo ya swala ambao ni adimu kupatikana duniani mwaka 1988.

Kesi ya Zuma kusikilizwa tena mwezi june


Rais wa zamani wa Afrika KusiniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRais wa zamani wa Afrika Kusini,Jacob Zuma

Rais wa zamani wa Afrika Kusini anayeshtakiwa kwa makosa ya rushwa inayohusishwa na mpango wa silaha wa mwaka 1990.

habari ya hivi punde.....Kauli ya Humphrey Polepole Baada ya Askofu Kakobe Kuitwa na Idara ya Uhamiaji

Baada ya watu mbalimbali kutoa maoni yao juu ya kuitwa kwa Askofu Kakobe na idara ya Uhamiaji kuhojiwa Uraia wake, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Humphrey Polepole ameandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Twitter; “Mbona kuhojiwa jambo la kawaida? baadhi ya watu wanajenga tabia ya hovyo sana”