Sondag, April 08, 2018

NAFASI ZA MASOMO KWA WOTE HIZI HAPA


OFA KWAAJILI YAKO
TANGAZO
Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Eckros School of Journalism
kinakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2018-2019 kwa kozi
zifuatazo kwa ngazi ya cheti.

.Uandishi wa habari na utangazaji.Uongozaji wa hotel za kimataifa.Ualimu wa awali.Mafunzo ya udereva.Mafunzo ya kompyuta program zote.Mafunzo ya U DJ.Uzalishaji wa video.Uhadhiri.Mafunzo ya kiingeleza.Ungojazi rasilimali.Utunzaji wa kumbukumbu.Mafunzo ya muziki.Uzalishaji wa muziki
SIFA ZA WAOMBAJI.Wahitimu wote wa darasa la saba,kidato cha nne na kidato cha sita na
kuendelea.
Chuo kinapatikana Njombe mjini ndani ya uwanja wa sabasaba,pia
tunatoa huduma za hostel kwa wanao hitaji.


Kwa mawasiliano zaidi  Wasiliana na mkurugenzi wa chuo hicho kwa simu 0762795251 Pia unaweza kumtafuta mmiliki wa blog atakufikisha kwa simu 0753121916.
Wahi sasa nafasi ni chache.

MUBASHARA BLOG



mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking