Saterdag, April 21, 2018

Kim Jong Un: Korea Kaskazini imesitisha majaribio ya silaha za kinyuklia

Kim Jong Un anasema kuwa Korea Kaskazini imejiimarisha kinyukliaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionKim Jong Un anasema kuwa Korea Kaskazini imejiimarisha kinyuklia

Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-Un, ametangaza kusitishwa kwa mda shughuli zake za kufanya majaribio ya silaha zake za Kinyuklia.


Kim Jong-Un amedai kwamba hamna haja ya kufanya tena majaribio kwa sababu nchi yake tayari imefanikiwa katika malengo yao ya kuwa wamiliki wa zana za kinyuklia.


Tangazo hilo linajiria wakati kuna harakati za kuharibu kufanikisha maandalizi ya mikutano inayotarajiwa kufanyika baina ya kiongozi huyo wa Korea Kaskazini na raia wa Marekani Donald Trump.



mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking