Sondag, April 22, 2018

MWANDISHI WA HABARI WA MUBASHARA BLOG AMESIKITISHWA KWA MSIBA WA AGNESS ALI MAALUFU KWA JINA LA MASOGANGE

Image may contain: 1 person, smiling, indoor
Mwandishi wa Habari Chrispiny Kalinga anye fanya kazi chini ya mubashara blog  ametuma salamu za pole kwa familia ndugu na marafiki wa Agness Gerald Waya kufuatia kifo  Agness alimaarufu kama Masogange kilichotokea Ijumaa.

Chrispin Kalinga ametuma salamu hizo kupitia mtadandao  wake wa twita kwa kusema kuwa amesikitishwa sana na kifo cha Agness Masogange huyo kwani kifo chake kinapunguza idadi ya vijana ambao ndiyo jeshi na watu ambao wanaweza kufikisha mbali taifa haswa katika sanaa.

"Kupitia ukrasa wake wa twita amesema kuwa  kila mmoja atapitia katika hatua hiyo na haikwepeki ndugu jamaa na marafiki najua mnaumia sana juu ya tukio lililo tokea ila mungu amempenda zaidi roho yake  ikae mahara pema peponi AMENI.

Mwili wa Agness Masogange utazikwa jijini Mbeya nyumbani kwa wazazi wake Mbalizi.

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking