Saterdag, April 07, 2018

MASHABIKI WA YANGA NJOMBE WATIA FOLA


Image result for yanga

njombe

Mashabiki watimu ya yanga Wilayani Njombe MkoaniNjombe wameufurahia ushindi wa timu yao ya yanga kwa ushindi wa magoli mawili dhidi ya timu pinzani.


Wakiwa katika kuzama meche hiyo kwenye vibanda vya utazamaji mechi hiyo waesemakuwa licha ya kupoteza mchezo kipindi cha nyuma bado wanayo nafasi ya kupambana na kuinga robo fainali. 

Wakizungumza na waandishi wetu wa habari mkoani hapo wamesema kuwa mashabiki wa timu ali maalufu kama watani wa jadi {simba } waamie kwenye timu ya yanga kwasababu wao ni mabinga na wanazidi kujiita wakimataifa. 



mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking