Donderdag, April 26, 2018

NAFASI ZA MASOMO HIZI HAPA .....



TANGAZO

Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Eckros school of journalism

kinakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2018-2019 kwa kozi

zifuatazo kwa ngazi ya cheti.
.Uandishi wa habari na utangazaji
.Uongozaji wa hotel za kimataifa
.Ualimu wa awali
.Mafunzo ya udereva
.Mafunzo ya kompyuta program zote
.Mafunzo ya u DJ
.Uzalishaji wa video
.Uhadhiri
.Mafunzo ya kiingeleza
.Ungojazi rasilimali
.Utunzaji wa kumbukumbu
.Mafunzo ya muziki
.Uzalishaji wa muziki

SIFA ZA WAOMBAJI
.Wahitimu wote wa darasa la saba,kidato cha nne na kidato cha sita na

kuendelea.

Chuo kinapatikana Njombe mjini ndani ya uwanja wa sabasaba,pia

tunatoa huduma za hostel kwa wanao hitaji.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia namba au 0762795251 / 0753121916    

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking