Donderdag, April 26, 2018

Wahanga wa mafuriko Jangwani wapata neema...tizama video live hapo chini



Familia zaidi ya 600 zilizoathiriwa na

mafuriko ambazo zimekuwa zikiishi kwa tabu baada ya mvua kuharibu vyakula na mali leo April 26 wamepata misaada ya vitu mbalimbali ikiwemo magodoro.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


chanzo cha habari muungwana

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking