Donderdag, April 26, 2018

Maadhimisho ya Sherehe za Muungano Kutoka Dodoma

Sherehe za maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinafanyika katika Uwanja wa jamhuri mjini Dodoma ambapo Rais John Pombe Magufuli, ndiye mgeni rasmi.

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking