Sondag, April 08, 2018

Fuatilia Hapa Tukio la Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Arusha....Rais Magufuli Keshawasili

Misa na sherehe ya kumsimika aliyekuwa Askofu wa Jimbo la moshi Askofu Mkuu Mteule, Isaac Amani inaendelea katika Parokia ya Mt Mt. Theresia Arusha.

Mhe. Rais Magufuli amewasili katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha ambapo anashiriki Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Hilo

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking