Saterdag, Augustus 04, 2018
Vrydag, Augustus 03, 2018
BREAKING: Kauli ya kwanza ya RC Ally Hapi tangu alipoapishwa
Leo August 3, 2018 tunayo story kutokea kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapiambaye amezungumza kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Mkuu wa mkoa huo ambapo awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
mubashara blog
+255753121916
Donderdag, Augustus 02, 2018
Mkuu wa Mkoa Njombe ataka wanaotorosha madini wafichuliwe
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewataka wananchi wanaoishi Vijiji jirani vinavyopakana na machimbo ya madini ya tanzanite ya mereani wilayani simanjiromkoani manyara kusaidia kuwafichua watu wote watakaojaribu kuhujumu jitihada za serikali kudhibiti utoroshaji wa madini
Naibu Waziri wa Áfya: Marufuku Kupiga Muziki Mahospitalini na Vituo Vya Afya
Na WAMJW - KAGERA
Naibu Waziri wa Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile amepiga marufuku kwa hospitali na vituo vyote vya kutolea huduma za Afya nchini kuonesha miziki katika maeneo yote yakutolea huduma na kuwataka kuweka jumbe zinazohusu Elimu Afya kwa umma pindi wanapongoja kupata huduma.
Teken in op:
Plasings (Atom)