Wananchi mkoani Rukwa wamelalamikia kasi ndogo, inayofanywa na
mkandarasi wa kusambaza umeme wa mradi wa umeme vijijini wa REA, ambapo
kati ya vijiji 142 vilivyopangwa kupitiwa na umeme huo kwa awamu ya
tatu, ni vijiji saba tu vilivyofikiwa hadi sasa na kwa wateja wasiozidi
kumi tu.