Donderdag, Augustus 09, 2018

Rais Museveni Awasili Dar Es Salaam Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Moja Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Agosti 9, 2018

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni (wa kati kati) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda baada yakuwasili, kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda


mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking