Woensdag, Augustus 01, 2018

NDOA YA ERICK MLELWA YAAMSHA MENGINE MKOANI NJOMBE

Huyu kushoni ni bibi harusi na kulia ni msimamizi wa bibi harusi


Na huyu kushoto ni msimamizi wa bwana harusi na kulia ndiye bwana harusi


na hawa kushoto ni medsi wakipendezesha harusi hiyo na kulia kwako katika picha ni medsi wa kiume nao wakipendezesha harusi hiyo.


Hapa ndipo utakapo uona upendo wa kweli mr.Erick mlelwa akiwa na mkewake ambaye kwasasa namwita mrs.Erick mlelwa au  Hawa.

Na hii picha ni ya bwana harusi na bibi harusi wakionyeshana jinsi wanavyo pendana

wao katika hatua nyingine mpigapicha franc malekela akiwaweka sawa kwa pozi zuri kama malaika 

na hii ni picha ambayo inawaonyesha maharusi wetu wakiwa katika hari ya mng'ao mzuri wakiendelea kufurahi na kuwakalibisha waalikwa.



mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking