Dinsdag, Augustus 07, 2018

Tetemeko la ardhi latokea Rukwa na Congo

 

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa  kipimo cha ritcher 4.4 na kina cha Kilomita 10 limetokea katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Rukwa na maeneo ya jirani usiku wa kuamkia leo Agosti 7, 2018 ambalo kiini chake kinaonekana kipo katika Ziwa Tanganyika, Kilometa 23 kutoka kata ya Kirando Wilayani Sumbawanga.


Aidha, katika tukio hilo hakuna madhara yoyote yaliyoripotiwa kutokea.

mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking