Maandag, Augustus 06, 2018

Jk ataka teknolojia mpya ya Kilimo


Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametaka teknolojia mpya ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi inayooneshwa kipindi cha Maonesho ya maadhimisho ya Wakulima na Wafugaji maarufu kama Nanenane iwafikie wananchi ili kuwakwamua katika dimbwi la Umasikini.

Diwani Mwingine wa CHADEMA Kahamia CCM

Madiwani wawili wa Chadema na NCCR-Mageuzi  manispaa ya Bukoba wamejiuzulu uanachama na kujiunga na CCM, Akiwemo meya wa zamani wa manispaa hiyo, Dk Anatory Aman.

Roma na Stamina Waitwa BASATA

Ikiwa ni siku tatu zimepita tangu wasanii wawili wa hip hop nchini Tanzania, Roma Mkatoliki na Stamina

Wawili Wafariki Dunia kwa Kufukiwa na Kifusi

Watu wawili wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi cha udongo wakati wakichimba madini ya dhahabu katika machimbo madogo yaliyoko mtaa wa Buguti Kata ya Turwa wilayani Tarime.

Saterdag, Augustus 04, 2018

MSANII WA HIP HOP "YLEEZ " KUTOKA NJOMBE AJA KWA MUONEKANO MPYA.



Msanii wa muziki wa Bongo Freva alimaalufu kama Hip Hop ajulikanaye kwa jina  YLEEZ amekutana na chombo chetu cha habari na kuzungumzia haswa

Waziri Kingwangalla kuhamishiwa hospitali ya KCMC kwa helkopta

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla leo Jumamosi Agosti 4, 2018 amepata ajali eneo la Magugu mkoani Manyara na kupata majeraha sehemu mbalimbali mwilini. Katika ajali hiyo ofisa habari wa wizara hiyo, Hamza Temba amefariki dunia.

Vrydag, Augustus 03, 2018

TFF yafunguka kuhusu Ali Kiba


BAADA ya hivi karibuni baadhi ya watu kudai kuwa mchezaji mpya wa Coastal Union ya Tanga, Ally Salehe Kiba ‘Ali Kiba’ kuwa kanuni za Ligi

Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa tamasha la 'Simba Day'

Klabu ya soka ya Simba leo imemtangaza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa tamasha la 'Simba Day' dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana Agosti 8, 2018.

Kauli ya Rais Magufuli Yamuumiza Kichwa Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,  Paul Makonda ameitisha kikao na wakurugenzi wa manispaa zote za mkoa kwalengo la kupitia takwimu za mapato na matumizi ya mkoa huo ili kujiridhisha kwanini wameshuka kimapato na kuzidiwa na jiji la Dodoma ambalo limepandishwa hadhi hivi karibuni.

Jokate Mwegelo Aapishwa kuwa Mkuu wa Wilaya

Mkuu mpya wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameapishwa leo huku akipewa onyo kuepuka wapotoshaji. Pamoja na Jokate, Zainab Kawawa naye ameapishwa kuwa mkuu wa wilaya ya Bagamoyo.

BREAKING: Kauli ya kwanza ya RC Ally Hapi tangu alipoapishwa













Leo August 3, 2018 tunayo story kutokea kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapiambaye amezungumza kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Mkuu wa mkoa huo ambapo awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni



 mubashara blog

+255753121916

Ajali Yaua Watuwatatu wa familia moja Dodoma

Watu wanne wamefariki na watatu wakiwa ni wa familia katika ajali iliyohusisha gari na pikipiki.

Mfanyabiashara Davis Mosha akamatwa na Askari wa Uhamiaji

Mfanyabiashara Davis Mosha alikamatwa Agosti Mosi, 2018 kwa madai ya kuwazuia askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu yao na bado anaendelea kushikiliwa kwa hatua zaidi.