Donderdag, Januarie 11, 2018

 


WAFUGAJI LUDEWA,WALIA NA WEZI WA NG'OMBE WACHINJAJI WATAJWA,


11 January 2018

 
 

 January 11, 2018

TCRA Yamtosa Mrema Sakata la Kuzushiwa Kifo 

NA CHRISPINY KALINGA.

SeeBait
Baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini, Mh. Agustino Lyatonga Mrema kusema anaenda kufungua kesi ya madai ya mabilioni ya shilingi TCRA  kwa watu waliomzushia taarifa za kifo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imemuelekeza kiongozi huyo  kuanzia kituo cha polisi kabla ya kufika kwenye ngazi hiyo.

BAVICHA Wamshambulia Kwa Maneno Katibu Mkuu BAVICHA Baada ya Kudai Tundu Lissu ni Muongo na Anatafuta Umaarufu

January 11, 2018

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Julius Mwita amefunguka na kusema kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka huenda ana matatizo ya akili.


MKUU WA MKOA WA NJOMBE AKANUSHA YALE YALIYO TAPAKAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.














MKUU WA MKOA WA NJOMBE 


 

 LAVALAVA ATAFUTA MKE......!

LAVALAVA KAFUNGUKA “JAMANI KAMA KUNA MWANAMKE MZURI AJE MIMI NIPO SINGLE”

Msanii kutokea kundi la

 KWELI SIKU ZA MWISHO ZIMEFIKA HATA HILI NAYO Dhhhh!.

Kanisa la Muhubiri ‘anayetembea angani’ limefungiwa nchini Botswana


 











BLOG MPYA INAYO KWENDA KWA JINA CHRISPIN KALINGA BLOG

Sasa unaweza kutangaza biashara yako.

 SOMA BILA KUKOSA HII NI HISTORIA DAAAAAAH.


Mfahamu binadamu mwenye nywele nyingi zaidi duniani

 















HATARI KWELI KWELI

“Tsh Bilioni 23 zinatolewa kila mwezi na serikali kwaajili ya elimu bure” – Ole Nasha



 


Saterdag, Desember 09, 2017

Chama cha mapinduzi wilayani ludewa mkoani njombe kimesema Hakitakuwa tayari kuona kiongozi yoyote anakwamisha ama kubeza shughuli mbalimbali

LUDEWA,
 za kimaendeleo zinazofanyika katika jamii ya wanaludewa.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha mkwimbili kilichopo katika kata ya Lupingu Katibu wa chama  hicho Bakari Mfaume amesema kuwa wao kama chama tawala awatakuwa tayari kuona kiongozi anabeza shughuri za kimaendeleo zinazofanywa na wananchi sambamba  na kuwabeza wananchi ambao wamejitokeza kushiriki katika shughuri hizo.
DAR-ES-SALAAM

______________________________________________________

LUDEWA