Saterdag, Augustus 11, 2018

JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MTU YEYOTE UNAYE MPENDA. MAFUNDISHO HAYA NAKUSOGEZEA WAKO


CHRISPINY KALINGA
Twende sambamba……..

Unaweza kushangaa lakini ndio ukweli wenyewe kwamba upo uwezekano mkubwa kabisa wa kuanzisha na kuendeleza mahusiano na mtu yeyote Yule bila kujali mwonekano wake wala  tabia yake Katika mafundisho haya ambayo nakusogezea wewe msikilizaji na msomaji wangu ninaeleza kanuni za kimaumbile zinazoongoza mahusiano ya watu wawili ambao mara nyingi watu hao hukutana kwa njia ya bahatinasibu…

YLEEZ " KUTOKA NJOMBE AACHIA WIMBO WAKE ''USIKONDE''


Msanii wa muziki wa Bongo Freva  Hip Hop ajulikanaye kwa jina  YLEEZ  Kutoka Mkoani Njombe amekutana na Mubashara blog na kuzungumzia kazi yake ambayo anaichai siku ya leo inayo kwenda kwa jina la  USIKONDE.

Donderdag, Augustus 09, 2018

Rais Museveni Awasili Dar Es Salaam Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Moja Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Agosti 9, 2018

Rich Mavoko ashinda kesi ya kujiengua WCB

 Msanii Rich Mavoko ameshinda kesi ya kujiengua katika Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB). Kesi hiyo ilikuwa ikisikilizwa katika Ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (Basata).

RC Geita amewataka watumishi waishi kisasa kama Ndege ya Dreamliner


Na James Timber, Mwanza

Kutokuwepo posho za watumishi wa serikali isiwe kikwazo cha kushindwa kufanya shughuli za kimaendeleo katika jamii kwani mtu mzalendo lazima ajitoe mhanga na aishi kisasa kama Ndege ya Dreamliner.

Diamond Platnumz, Ang'ang'ania Kubeba Jeneza la Mzee Majuto

































mubashara blog

+255753121916

Mbunge Ester Matiko, Mwandishi wa Tanzania Daima na Wafuasi wa CHADEMA Waachiwa Baada ya Kukamatwa jana na Polisi

Mbunge wa Tarime Mjini,  Ester Matiko, mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima Sitta Tuma na wafuasi wengine 14 wa Chadema waliokuwa wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mkutano usio halali wameachiwa. Hata hivyo, wametakiwa kuripoti polisi kesho.

Rais Magufuli Ashindwa Kujizuia na Kumwaga Machozi Akimuaga Mzee Majuto

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi wakati alipokuwa akiaga mwili wa aliyekuwa msanii nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo Agosti 9, 2018.

Woensdag, Augustus 08, 2018

Mwanafunzi miaka 8 abakwa asababishiwa ugonjwa



Mwanafunzi (8) wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Maganjwa Wilayani Babati, Manyara (jina linahifadhiwa) amebakwa na mkazi wa Kijiji hicho na kuharibiwa vibaya sehemu zake za siri hali iliyomsababishi ugonjwa wa Fistula.

Waziri agoma kuwasha umeme, mkandarasi nae matatani



Wananchi mkoani Rukwa wamelalamikia kasi ndogo, inayofanywa na mkandarasi wa kusambaza umeme wa mradi wa umeme vijijini wa REA, ambapo kati ya vijiji 142 vilivyopangwa kupitiwa na umeme huo kwa awamu ya tatu, ni vijiji saba tu vilivyofikiwa hadi sasa na kwa wateja wasiozidi kumi tu.

Nay Wa Mitego - Mwaka Wa Roho Mbaya (Official Video) hii hapa

































mubashara blog

+255753121916

CCM Yalalamika Siri za Serikali Kuvuja

Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Dk. Antony Dialo amesema miongoni mwa matatizo ambayo watumishi wengi wanaostaafu au kuondolewa katika nafasi wanazoteuliwa na Rais ni kukiuka kiapo chao cha kutunza siri.

Nay wa Mitego aachia ngoma mpya ‘Mwaka wa Roho Mbaya’

Rapa Ney wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Mwaka wa Roho Mbaya’ ambapo kwenye mashairi ya wimbo huo kafunguka mambo kibao ikiwemo Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).