Vrydag, September 07, 2018

Baba Levo aswekwa lumande.

Image result for baba levo

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Craython
Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo
aliwasili mapema leo katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Mfawidhi Kigoma kusikiliza hukumu ya kesi
inayomkabili.


Msanii huyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya
Mwanga Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo
anatuhumiwa kufanya makosa matatu ikiwemo
kutumia lugha ya matusi, kumshambulia na
kumfanyia vurugu muuguzi wa zahanati ya Msufini
iliyopo kata ya Mwanga Kaskazini.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi terehe 19, Septemba
mwaka huu


mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking