Vrydag, September 07, 2018

Rapper Budden amchimba mkwara Eminem.


Image result for joe budden
Na Nimrod Process#

Rapa Joe Budden amemvaa tena Eminem kupitia kipindi chake anachokiweka mtandaoni cha ‘Joe Budden Podcast’, akidai kuwa sio saizi yake na kumtishia kipigo. Budden ameendelea kujibu mapigo

baada ya Eminem kumchana kwenye wimbo wake wa ‘Fall’ aliomtaja jina kabla ya kumpa za uso. Rapa huyo amedai kuwa yeye amekuwa rapa bora zaidi
ya Eminem kwa miaka zaidi ya kumi sas
a


mubashara blog +255753121916

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking