Vrydag, Maart 16, 2018

Jeshi la Polisi Latoa Taarifa Kuokotwa Mwili wa Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami Ukiwa Kwenye Kiroba

Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Mara, limetoa taarifa rasmi juu ya kuokotwa kwa mwili wa mfanya biashara na mmiliki wa mabasi ya Super Sami Samson Josiah , ambaye alitoweka na mwili wake kuokotwa mtoni hapo juzi.

Alichokisema Hakimu Katika Kesi ya Malinzi Kuhusu Upelelezi Kutokamilika Kila Kesi Ikitajwa

Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeuagiza upande wa Jamhuri kukamilisha kwa haraka upelelezi wa kesi ya vigogo watatu wa Shirikisho la Soka (TFF), akiwamo aliyekuwa rais Jamal Malinzi, ili haki iweze kutendeka kwa pande zote mbili. Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Jengo La Abiria Kiwanja Cha Ndege Dodoma Kuboreshwa

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, ametoa miezi miwili kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuhakikisha linakamilisha uboreshaji wa jengo la abiria lililopo katika kiwanja cha ndege cha Dodoma ili kuwezesha jengo hilo kuhudumia abiria wengi zaidi kwa wakati mmoja.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 16

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya March 16

Donderdag, Maart 15, 2018

Kipigo cha Chelsea lawama zote atupiwa Thibaut Courtois

Baada ya Chelsea kuondoshwa kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya FC, Barcelona kwa jumla ya mabao 3-0, lawama zote zinatupiwa kwa mlinda mlango, Thibaut Courtois.

Serikali ya Rwanda imepiga marufuku utoaji adhana

Serikali ya Rwanda imepiga marufuku utoaji adhana, wito kwa waumini wa kiislamu  kudiriki ibada ambao hutolewa mara tano kwa siku kwa madai kuwa wito huo huwa unawakera raia mjini  Kigali.

Mambosasa: Wakiandamana mitandaoni hatuna shida

Kamanda wa jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam Tanzania, Lazaro Mambosasa amefunguka na kusema kuwa kama April 26 mwaka huu watu wataandamana kwa mitandao ya kijamii wao hawana tatizo kwa hilo ila kama wataingia barabarani basi wasijute.

Polepole apokea Wanachama wapya Mkoani Kigoma

JUMLA ya wanachama 27 kutoka Chama cha NCCR-Mageuzi  akiwemo aliewahi kuwa Diwani Kupitia Chama hicho Kata ya Kitagata  wilayani Kasulu mkoani Kigoma wamejiunga CCM.Miongoni mwa hao walijiunga CCM wapo pia wanaotoka Kata ya Nyakitonto na wamefikia uamuzi kutokana na utendaji kazi unaofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli.

Umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo vya Silaha Sudani Kusini,wakiwemo wachochezi

Baraza la usalama la Umoja wa mataifa linatarajiwa kuridhia azimio lilioandaliwa na Marekani,linalotishia kuiwekea vikwazo vya silaha Sudani Kusini,na vikwazo dhidi ya wale wanaokwamisha jitihada za kuvimaliza mojawapo ya vita vibaya barania Afrika.

Rais Trump amteua mtangazaji wa televisheni kuwa mshauri mkuu wa Uchumi





Trump amteua Kudlow kuwa mshauri mkuu wa masuala ya uchumi .Mchambuzi wa masuala ya fedha katika televisheni nchini Marekani, Larry Kudlow sasa atakuwa mshauri mkuu mpya wa masuala ya uchumi katika Ikulu ya Marekani ya White house.

Kina Pogba na Lukaku kuiponza Man United

London, England. Kuna wasiwasi Manchester United kwamba siku moja Glazer family watauliza wapi fedha zao zinapotumika.

Waziri wa Tamisemi Aonya Watumishi Wazembe

Na  Ferdinand Shay, Arusha.

Waziri wa Tamisemi Suleman Jafo amesema kuwa serikali haitasita kuwachukulia hatua watumishi Wazembe katika vituo vya afya ambao hawatoi huduma bora kwa wananchi licha ya maboresho ya vituo vya afya yanayofanyika katika vituo vingi vya serikali kwa kujenga majengo ,dawa na vifaa tiba vya kisasa.