Saterdag, April 07, 2018

Yanga yaitwanga 2-0, Dicha ya Ethiopia


Yanga imeitwanga Wolaitta Dicha ya Ethiopia kwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho kuwania kucheza Kombe la Makundi.

MASHABIKI WA YANGA NJOMBE WATIA FOLA


Image result for yanga

njombe

Mashabiki watimu ya yanga Wilayani Njombe MkoaniNjombe wameufurahia ushindi wa timu yao ya yanga kwa ushindi wa magoli mawili dhidi ya timu pinzani.

Gaudentia Kabaka: Wanawake Msione Fahari Kuitwa ‘Dume Jike

NA BASHIR NKOROMO

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka amewataka Wanawake kote nchini  wasione fahari kuitwa ‘Dume-Jike’ bali wawe wanawake wenye msimamo imara na jasiri kwa maendeleo yao na ya nchi kwa jumla.

Serikali yawapa siku 23 wamiliki wa nyumba

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema serikali itawafikisha Mahakamani na kuwafutia hati ya umiliki wananchi wote wanaomiliki ardhi ambao wamekuwa hawalipi kodi ya ardhi.

IGP Sirro amesa andamana uone moto uwakao

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro amesema Jeshi lake liko imara kweli kweli katika kupambana na watu wanaotaka kuleta uvunjifu wa amani nchini, huku akiwasii wanaotaka kuandamana kuacha mara moja kwani kitakachowapata wasije kulaumiana

Rais Magufuli awapa rungu polisi

mpekuzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka jeshi la polisi kufanya lolote lililopo ndani ya uwezo wao, ili kuhakikisha mani ya nchi haivunjwi na kubaki na utulivu.

Rais Magufuli Awapiga Marufuku Polisi Kufyeka Mashamba ya Bangi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka maofisa wa Jeshi la Polisi na Makamishna wake kutoyafyeka na kuyachoma moto mashamba ya bhangi na badala yake watumie njia za kiintelijensia kuwababini watuhumiwa, kuwakamata na kuwashughulikia ikiwa ni pamoja na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.

RC Gambo Amtoa Hofu Rais Magufuli Kuhusu Maandamano ya Mange Kimambi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho gambo amemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutotishwa na maandamano ya mitandaoni yanayoratibiwa na Mange Kimambi, kwani mkoa wa Arusha uko salama.

Woensdag, April 04, 2018

Nafasi za Kazi zilizotangazwa Leo

Lulu atoa mchango wake akiwa gerezani



Msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ambaye kwa sasa anaendelea kutumikia kifungo chake jela ametoa mchango wake wa Pads kwa lengo la kuwasaidia watoto wa kike katika kampeni ya Namthamini inayoendeshwa na uongozi wa EATV.

Rais Magufuli amteua Mkemia Mkuu wa Serikali mpya


Rais John Magufuli amemteua Dk Fidelice Mafumiko  kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali.

Rais Magufuli Kuzindua Ukuta Katika Migodi ya Tanzanite


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Ijumaa hii Aprili 06, 2018 kwenye uzinduzi wa ukuta kwenye migodi ya Mirerani mkoani Arusha.

Dinsdag, April 03, 2018

Kesi ya Mbowe na Viongozi Wengine wa CHADEMA Kusikilizwa April 16


Upande wa mashtaka wa kesi inayowakabili viongozi saba wa Chadema, akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iruhusu kesi hiyo isikilizwe kwa haraka, ikiwezekana jambo hilo kuanza kesho.