Sondag, Mei 06, 2018

Rais Magufuli Azindua Stendi ya Mabasi Morogoro...... ataka wamachinga Waruhusiwe kuuza bidhaa zao Ndani ya Stendi Hiyo

Na Chrispin kalinga.

Rais John Magufuli ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Morogoro, kuweka utaratibu mzuri ili wamachinga waweze kuuza  bidhaa zao ndani ya stendi ya mabasi ya Msamvu ya mjini Morogoro.

yanga yaungana na Man United



Klabu ya soka ya Yanga imeungana klabu ya soka ya Manchester United na mashabiki wengine wa soka duniani kumuombea apone haraka kocha wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson ambaye amefanyiwa oparesheni ya Ubongo.

TRA yawatambua rasmi machinga

Na James Timber, Mwanza

Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu machinga kujisajili na kupata vitambulisho lengo likiwa kuwatambua katika sekta isiyo rasmi.

Vrydag, Mei 04, 2018

BBC NA VOA YAWASHIWA MOTO BURUNDI



Rais Pierre Nkurunziza
Image captionRais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi inasema matangazo ya mashirika ya utangazaji ya BBC na VOA yamepigwa marufuku nchini humo kwa miezi sita kuanzia Mei 7

NANDI AIBUKA NA JAMBO JIPYA

Mwanamuziki wa Bongo fleva Nandy amefunguka na kudai alikuwa tayari kuacha muziki baada ya ile video yake chafu kuvuja Kwenye mitandao ya kijamii.

Wema sepetu ala shavu wasafi tv

Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu amefunguka na kuelezea mipango yake  aliyonayo kuhusu  kipindi chake  kinachotarajiwa kurushiana ndani ya Wasafi Tv.

Rais Magufuli: Bora Kula Sumu Kuliko Fedha za Serikali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kwamba watu wanaokula fedha za serikali wanajitafutia balaa, kwani ni sawa na wanakunywa sumu.

ZIWA NYASA LASHANGAZA ULIMWENGU KWA SAMAKI WENYE RANGI.






MBEYA- MATEMA

NA CHRISPIN KALINGA

Wakazi wa Kijiji cha Matema Wilayani   Kyela Mkoani Mbeya wamezungumza na waandishi wa habari juu ya uwepo wa Ziwa Nyasa na  wananufaika vipi kwa uwepo wa ziwa hilo na huku wengine wakisema kuwa licha ya mafanikio hapakosi changamoto.

Woensdag, Mei 02, 2018

WANACHUO NJOMBE WAIVAMIA MATEMA..



Picha na Francis Malekela  Baadhi ya wanafunzi walio fanya Ziara ziwa Nyasa.

MBEYA .

NA MWANDISHI WETU

Wanachuo wa Chuo cha Uandishi wa Habari Eckros School of Journalism kilicho Mkoani Njombe  wamefanya Ziara ya kimasomo katika Kijiji cha Matema Wilayani Kyela Mkoani Mbeya  kwenye Ziwa Nyasa kwa lengo la kujifunza kwa vitendo.

Vrydag, April 27, 2018

Wema Sepetu: - Sitaki salamu ya Hamisa Mobeto

Nyota wa filamu nchini, Wema Sepetu amesema, hana bifu na Hamisa Mobetto, ila pia si rafiki yake.

Kim Jong Un afanya ziara ya kihistoria Korea Kusini

Rais Kim Jong Un atua Korea Kusini
Image captionRais Kim Jong Un atua Korea Kusini
Rais Kim Jong-Un wa Korea Kaskazini amekuwa kiongozi wa kwanza wa taifa hilo kuvuka mpaka wa kijeshi uliowekwa kuzitenganisha nchi hizo mbili baada ya vita ya mataifa hayo mawili mwaka 1953.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo IIjumaa ya April 27

Donderdag, April 26, 2018

BURE KABISA OFA KWAAJILI YAKO WEWE MTANZANIA



MUBASHARA BLOG

Mmiliki wa Mubashara blog anakupa furusa wewe Mtanzania kutangaza mahitaji yako  bure kabisa ndani ya blog kipenzi cha wengi inayo kuja kivingine .


Tangaza biashara zako au Kama unatafuta wafanyakazi au unatafuta kazi ,Muziki,Ndoa,Mchumba au Mke na mengineyo mengi kikubwa mtafute kwa simu 0753121916 ndani ya masaa Ishirini na nne anapatikana tuma ujumbe mfupi wa maandishi au waweza kumpigia.
 bure kabisa. 

mubashara blog +255753121916