Woensdag, Januarie 31, 2018
TOBA Pluijm apigwa changa la macho na Kibaka
KOCHA WA SINGIDA UNITED, HANS VAN DER PLUIJM.
Shule 10 BORA na Shule 10 za Mwisho Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
Baraza
la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne
kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017 ambapo Shule iliyoshika
namba moja inatoka Mbeya.
TOP 10 YA SHULE BORA.
1. St. Francis Girls ya Mbeya
2. Feza Boys ya Dar es salaam
3. Kemebos ya Kagera
4. Bethel Sabs Girls ya Iringa
5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro
6. Marian Girls Pwani
7. Canossa ya Dar es salaam
8. Feza Girls ya Dar es salaam
9. Marian Boys ya Pwani
10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam
2. Feza Boys ya Dar es salaam
3. Kemebos ya Kagera
4. Bethel Sabs Girls ya Iringa
5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro
6. Marian Girls Pwani
7. Canossa ya Dar es salaam
8. Feza Girls ya Dar es salaam
9. Marian Boys ya Pwani
10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam
TOP 10 YA SHULE ZA MWISHO KITAIFA
10. Mtule ya Kusini Unguja
9. Nyeburu ya Dar es salaam
8. Chokocho ya Kusini Pemba
7. Kabugaro ya Kagera
6. Mbesa ya Ruvuma
5. Furaha ya Dar es salaam
4. Langoni ya Mjini Magharibi
3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi
2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja
1. Kusini ya Kusini Unguja
chrispiny kalinga
Umri wa Kustaafu Kwa Madaktari Bingwa, Wahadhiri Waandamizi na Maprofesa Sasa miaka 65
Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma.
Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswaada wa Sheria ya
Marekebisho ya Sheria mbalimbali ikiwemo sheria ya Utumishi wa Umma,
Sura ya 298 (The Public Service Act) itakayowezesha muda wa kustaafu
kwa Wahadhiri waandamizi, Maprofesa na Madaktari Bingwa kuwa miaka 60
kwa hiari na lazima miaka 65.
Teken in op:
Plasings (Atom)