Saterdag, Augustus 25, 2018
Donderdag, Augustus 23, 2018
Donderdag, Augustus 16, 2018
GP Sirro: Yule Mwandishi wa Habari Alipigwa Kwa Sababu Alifanya Fujo....Upelelezi Unaendelea na Haki Itatendeka
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amesema kuwa Mwandishi wa habari aliyepigwa na polisi wakati akitekeleza majukumu yake katika Uwanja wa Taifa ulioko jijini Dar es Slaam alikuwa mbishi na alimkaba Askari polisi akitaka kuingia sehemu ambayo imekataliwa kuingia, ndipo askari wakawa na hasira na kuanza kuvutana ndipo ugomvi Ukaanza.
Sondag, Augustus 12, 2018
Dalili Za Mimba Kutunga Nje Ya Mji Wa Uzazi

HILI ni tatizo ambalo linawaathiri wanawake wengi. Kwa kawaida, mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Mimba hizi ni hatari kwa afya ya mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo asipowahi kutibiwa. Katika mfumo wa uzazi wa mwanamke, kuna sehemu nyingi ambazo kila moja ina umuhimu wake.
Teken in op:
Plasings (Atom)