PICHA YA MTANDAONI
Iringa -Mafinga. na Mwandishi wetu.
Wasafili mkoani iringa katika stand kuu ya mafinga mjini wawalalamikia watu wanao wapokea kwa kuwanyang'anya mabegi yao na kuyaalibu wakiwa wanawasili standhapo na huwapelekea kuhalibu mali zao.
Wakiyazunguza hayo leo mjini hapo na waandishi wa habari kuwa tabia hiyo ya kuchukuliwa mizigo yao wao kama abilia inawakela na inawafanya wasiwe wanaingia ndani ya stand hiyo wakienda kutafuta vituo vingine ili kuondokana na usumbufu huo kutoka Kwa watu maalufu kwa jina la wapiga debe.
Baadhi ya madereva wa stand hiyo wamezungumza na chombo chetu cha habari juu ya kumlinda abiria wao kwa kusema kuwa wao kama wasafilishaji wana ofisi ambazo wateja wao huenda moja kwa moja kwaajili ya kukata tiketi.
Lakini pia wakaongeza kwa kusema kuwa usumbufu unao jitokeza stand hapo yote hayo yanaweza yakarekebishwa kwa kuwaelekeza waliki wa magali hayo wasipokee mteja kwa wapiga dede kwa lengo la kuwalinda wateja wao.
Pia baadhi ya wafanyakazi hao katika stand hiyo ya mabasi yaelekeayo mikoani alimaalufu kwa jina la makondakata wamekanusha malalamiko ya abilia hao kwamadai kufanya hivyo ni kinyume cha sheria.
mubashara blog +255753121916
Geen opmerkings nie:
Plaas 'n opmerking