Saterdag, Januarie 20, 2018

 LUDEWA-MLANGALI
Na chrispiny kalinga 
date... 20 january 2018

WANGANGA WA TIBA ASILI WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE KIJIJI CHA MAWENGI NA IYUNGUYA  WAITAKA SERIKALI KUINGILIA KATRI MADAI YAO YA FEDHA ILIYO TOLEWA MWAKA 2017.

 
Waganga wilayani ludewa mkoani njombe wanaulalamikia uongozi wa chama ambacho kilikuwa kinawaongoza kinacho kwenda kwa jina la C.W.W.I kwa madai ya kuchukuliwa fedha zao kwa muda wa mwaka mmoja na bila kuona chochote kinacho endelea.

Dinsdag, Januarie 16, 2018


New Video: Chibwa & Tanah Tanchy – Alone

By  | 





 MONDI HATARI

Baada ya Afrika Kusini Diamond kununua mjengo mwingine Rwanda

ByKIBOKO CHA MADANGA




Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameweka wazi mipango yake ya kununua nyumba nchini Rwanda.



 TUJIKUMBUSHE KIDOGO BAJETI YA MWAKA HUU DUUH.

Taarifa Ya Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Hali Ya Uchumi Na Utekelezaji Wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2017/18

JANUARY 16.2018



­­­
UTANGULIZI
 
 CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NJOMBE HIKI HAPA.
NA chrispiny kalinga

 Eckros tourism college-njombe ni chuo pekee nyanda za juu kusini kinachofanya vizuri. Kufahamu zaidi angalia video hii. Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu













 RAIS APONGEZWA.

January 16, 2018

UDSM Wampongeza Rais Magufuli Kwa Misimamo Thabiti Isiyoyumba

SeeBait


January 16, 2018

SOMA MAGAZETI YA LEO.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya January 16

SeeBait

chrispin kalinga

January 16, 2018

Uamuzi wa serikali dhidi ya gazeti la Nipashe kwa taarifa ya kupotosha kuhusu Rais

SeeBait

January 16, 2018

NA CHRISPINY KALINGA

MANENO MAZITO AYAONGEA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu: “Tutakamilisha ujenzi wa hospitali ya rufaa ya Musoma”

SeeBait
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inakamilisha ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyoanza kujengwa mwaka 1980.



KUINGIA IKULU KWA MH.LOWASSA KWALETA GUMZO CHADEMA

Taarifa ya leo ya Edward Lowassa kuhusu alichoongea na Rais Magufuli IKULU





 Yaastahajabu ya Musa haya

Gari imeruka kutoka barabarani mpaka ghorofa ya pili California (picha+3)


Maandag, Januarie 15, 2018

Ajali ya Gari yaua watu 11 na kujeruhi watu 5 mkoani Kagera.


Watu 11 wamepoteza maisha kufuatia ajali ya gari dogo HIACE aina ya Nissan Caravan yenye namba za usajili T 542 DKE ambapo imegonga magari makubwa mawili ya mizigo katika eneo la Nyangozi kata ya Nyantakara wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera.


Donderdag, Januarie 11, 2018

BAVICHA TENA



Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Julius Mwita amefunguka na kusema kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka huenda ana matatizo ya akili.Mwita amesema hayo leo Januari 11, 2018