Sondag, Februarie 04, 2018

ndege iliyo anguka Z'bar yapatiwa jawabu

 

Hitilafu ya mfumo wa umeme imetajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali ya ndege ambayo ilisababisha vifo vya watu wawili juzi visiwani Zanzibar.

Ajali hiyo ilitokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume majira ya saa 7:00 mchana, wakati ndege hiyo ikijaribu kuruka.

Mama Mobeto amfungukia Diamond




 UFUATIA skendo nzito inayofukuta ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutoka kimapenzi na warembo, Wema Isaac Sepetu na Tunda Sebastian,

Mimi Mars afunguka sifa za mwanaume kuwa nae





Msanii ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake kipya 'Sitamani' chini ya Mdee Music, Mimi Mars amefunguka na kudai endapo atahitaji kuingia katika mahusiano kwa mara nyingine tena basi anataka kuwa na mwanaume mwenye kujielewa na kujitambua.

Wabunge wamtaka Waziri Mpango kubadili sera za Taifa

 
 picha ya mtandao

Hali ya uchumi nchini imewaibua wabunge wakitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kubadili sera za Taifa ili kuchochea ukuaji wake.

Wakichangia taarifa ya

Mbunge wa Chadema atishiwa maisha

 
 Mbunge wa  (CHADEMA) Tarime Vijijini, John Heche amefunguka na kusema ameanza kupata vitisho mbalimbali kutoka kwa watu wasiojulikana wakimtishia maisha yake baada ya kusema ukweli kuhusu kupanda kwa gharama za vitambulisho vya Taifa.

Akiongea na www.eatv.tv Heche amedai kuwa ameanza kupata vitisho hivyo na kudai kuwa haviwezi kumrudisha nyuma katika kuisimamia Serikali na kuibana Serikali na kusema hawezi kubadili msimamo wake hata siku moja.

"Mtakumbuka kuwa majuzi jioni nilizungumza bungeni kuhusu kudanganywa umma juu ya mradi wa e-passports na kupanda kwa gharama za vitambulisho vya Taifa. Maelezo yangu bungeni yalitokana na Taarifa kutoka Kamati ya PAC na yalijibiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi. Sasa ndugu zangu nimeanza kupata vitisho dhidi ya ‘credibility’ yangu na maisha yangu. Ndugu zangu Taifa letu linapitia wakati ngumu Sana" alisema Heche

Heche aliendelea kusema kuwa

"Genge la wahalifu wa ki Uchumi na kisiasa kamwe lisitarajie nitatishika ama kubadili msimamo. Vitisho vilivyoanza dhidi yangu baada ya kuibua Ufisadi Katika Vitambulisho vya Taifa na E -Pasport havitaniogopesha kamwe. Njia zao ovu ama kunitisha ama kutaka kuchafua heshima yangu ama kunitengenezea kesi ama kuninifanyia alichofanyiwa Mhe. Tundu Lisu hazitanirudisha nyuma" alisisitiza Heche

Mbali na hilo Heche ameweka wazi kuwa kwa sasa anaandaa nyaraka muhimu ili azipeleke Bungeni kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge kuchunguza ubadhirifu uliofanyika katika Vitambulisho vya Taifa pamoja na E- Passports.

Source:to muungwana blog

Chrispiny kalinga blog

Ratiba ya Mazishi ya Mzee Kingunge kesho

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru enzi za uhai wake.

Ratiba ya mazishi ya Baba yetu mpendwa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(Baba Kinje)
Jumapili tarehe 4/2/2018
– Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.
-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha)

Mwanamke ajifanya muuguzi na kuiba mtoto wa siku moja Mbeya

 

Picha ya mtandao

Polisi mkoani hapo wanamsaka mwanamke ambaye aliyejifanya muuguzi na kuiba mtoto wa kike wa siku moja kwenye wodi ya wazazi katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

Mtoto huyo alizaliwa kwa njia ya upasuaji na

Katambi Ataja Sababu Kuyumba Kwa Upinzani

 
 KADA mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Patrobas Katambi ameeleza sababu zinazochangia kudhoofika kwa vyama vya upinzani nchini.

Amesema kuyumba kwa vyama hivyo kunachangiwa na

Dawa ya Asili ya Vidonda vya Tumbo, Pumu, Nguvu za Kiume, Korodani kuvimba yapaytikana

 
Super Muhi Mix Power:  Ni dawa ya nguvu za kiume kutoka Congo, inatibu na kuponesha kabisa tatizo la nguvu za kiume, itakufanya uweze kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila

Waziri Mkuu: Serikali kuimarisha masoko ya mazao

 
 Na chrispiny kalinga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inataka kuimarisha masoko ya mazao yanayolimwa nchini ili kuwawezesha wakulima kupata tija.

Taarifa iliyotolewa jana Februari 3, 2018  na

Rais Magufuliafanya kitu alicho kuwa ametolea ahadi yake kwa kampuni ya Bakhresa

 
 Na Judith Mhina – MAELEZO
 
 Agizo la Rais John Pombe Magufuli la kuipatia Kampuni ya Said Salim Bakhresa (SSB) Group LTD ardhi yenye ukubwa wa ekari 10,000 kwa ajili ya

AG mpya Anena maneno mazito sekta ya sheria

 

Na Fatma Salum-MAELEZO
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi ameahidi kufanya kazi kwa bidii ili kupunguza changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya Sheria hapa nchini.

Wafanyakazi waanza kukatwa mishahara kufadhili uchaguzi wa 2020

 

Wafanyakazi wa umma nchini Burundi wameanza kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kwaajili ya kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa