Vrydag, Februarie 02, 2018

Matapeli na Walimu wakuu, wakamatwa Baada ya Matokeo ya Shule Kutoka

Walimu wakuu pamoja na mwananchi alie julikana kwa jina Teacher Patrick amekamatwa kwa kosa la kugushi saini ya afisa elimu wa mkoa wa dar es salaam pamoja na kukutwa na baadhi ya

Mtoto wa Fidel Castro amejiua



Mtoto wa Mwana mapinduzi na Rais wa kwanza wa Cuba Fidel Castro, Fidel Ángel Castro Díaz-Balart, mwenye umri wa miaka 68 amejiua akiwa mji mkuu wa

Zitto Kabwe anena maneno mazito kwa Waziri Mipango


Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa deni la taifa limeweza kuongezeka kwa asilimia 168% ndani ya

Dkt.Kikwete asema hana maneno ya kutosha zaidi ya kubeba uzito wa simanzi



Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hana maneno ya kutosha kubeba uzito wa simanzi zake kwa Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombali Mwiru.

Dkt Kikwete ameeleza kuwa Mzee Kingunge ni moja ya walezi wake waliomlea kisiasa na wametoka mbali.

“Nimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mzee Kingunge Ngombare Mwiru.Sina maneno ya kutosha kubeba uzito wa simanzi zangu.Mzee huyu ni moja ya walezi wangu kisiasa. Tumetoka nae mbali. Natoa pole zangu kwa familia na Watanzania wote. Alale kwa amani,“ ameandika Dkt. Kikwete katika ukurasa wake wa Twitter

Chrispiny kalinga blog

Watu zaidi ya 50 Mahututi baada ya kula nyama..



Idara ya afya ya Mashariki mwa Cape own nchini South Africa ilitoa onyo baada ya watu zaidi ya

TLS Wammwagia Sifa Rais Magufuli


Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Godwin Ngwilimi amepongeza Rais  John Magufuli kwa kutekeleza matarajio ya

Kampuni ya simu TTCL yapokonywa rasm





Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania siku ya jana Februari 1, 2018 imefanya mabadiliko na

Rais Magufuli: "Sitalalamika tena,najua nitakavyofanya .....TOBA



Rais John Magufuli amewapa pole Majaji kwa changamoto wanazokumbana nazo pindi wanapo shughulikia mashitaka yanayopelekwa na serikali na kuahidi kulifanyia kazi

KIONGOZI ALIYE MUAPISHA KIAPO RAILA ODINGA TUMBO LAWAKA MOTO


Wakili Miguna Miguna alihusika pakubwa katika kumlisha kiapo cha kuwa 'rais wa wananchi' kiongozi wa Nasa Raila Odinga

Mwanasiasa aliyejitangaza kuwa kiongozi wa vuguvugu la pingamizi dhidi ya serikali nchini Kenya NRM Miguna Miguna alikamatwa siku ya Ijumaa alfajiri,

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya February 2

Rais Magufuli Amtumbua Mwanasheria Mkuu wa Serikali....



Rais Magufuli amefanya uteuzi mpya kwa kumteua Dk Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Paul Ngwembe kuwa

Ndege yaanguka na kuwaka moto uwanja wa ndege wa Zanzibar



Madudu Mkataba wa Mlimani City

Bunge limeitaka serikali kuhakikisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anafanya ukaguzi wa kiuchunguzi na kiufanisi