Vrydag, Februarie 02, 2018

Matapeli na Walimu wakuu, wakamatwa Baada ya Matokeo ya Shule Kutoka

Walimu wakuu pamoja na mwananchi alie julikana kwa jina Teacher Patrick amekamatwa kwa kosa la kugushi saini ya afisa elimu wa mkoa wa dar es salaam pamoja na kukutwa na baadhi ya
nyaraka za uhamisho wa wanafunzi kuwapeleka shule mbali mbali ambayo ni kinyume cha sheria  na vile vile kuwatoza fedha wazazi wanaohitaji kuwahamisha watoto wao shule.

Afisa elimu wa mkoa wa Dar es salaam Bw Hassan Lissu, ametoa taarifa hiyo na amewataka wananchi kuwa makini na matapeli hao, na katika kuomba uhamisho wanatakiwa kuomba uhamisho katika ofisi zake na kusisistiza kuwa uhamisho wa wanafunzi ni bure, na kuna viwango wa kuwapeleka wanafunzi katika shule 8 za kimkoa ambazo wao walizichagua.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI BOFYA HAPO

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........ USISAHAU KUSUBSCRIBE..............

                                              https://youtu.be/BeW0bZ57hxE


Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking