Vrydag, Februarie 02, 2018

Ahukumiwa kwa kumtilia mkewe pilipili kwenye chupi


Mtu mmoja nchini Uganda anayejulikana kwa jina la Moses Okello amehukumiwa kifungo cha nje na kufanya kazi za jamii

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20


TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA
Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya

Basi la abiria lapinduka na kuua binadam



Basi la abiria mali ya kampuni ya Tahmeed coach linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda nchini Kenya jijini Mombasa limepinduka leo na kusababisha kifo cha

Makamu wa rais apigwa mawe na wananchi


Makamu wa rais wa

Tundu Lissu atoa jozi zito juu ya Mzee Kingunge


Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amezungumzia kifo cha Kingunge Ngombale Mwiru akisema

Rais Magufuli amsaidia mlemavu Bajaji ya kutembelea




Rais waJamhuriya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametekeleza ahadi yake ya kumsaidia Bajaj Mlemavu wa viungo Bw. Yusuf

SIKU YA KESHO RAIS ATAFANYA HAYA kuwatunuku kamisheni maafisa wapya wa JWTZ



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kesho tarehe 03 Februari, 2018 atawatunuku kamisheni

ZARI KAZALISHA JIPYA KWA MSANII WA MUZIKI WA KISASA DIAMOND



Hivi karibuni msanii wa nyimbo za Bongo fleva nchini, Naseeb Abdul maarufu duniani kama Diamond Platinumz amekuwa akiingia katika skendo za kuchepuka kimapenzi na

SHEREHE ZA MIAKA 41 YA CCM KUFANYIKA MLANGALI, LUDEWA,

NJOMBE-MLANGALI

Na chrispiny kalinga


PICHA NA...MAIKO LUOGA

Katikati ni Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa Bw, Bakari Mfaume Kulia ni Bw, Leodgar Mpambalyoto Katibu wa siasa na Uenezi Wilaya ya Ludewa na Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM kata ya Mlangali
 Wakiwa Katika

WAKULIMA WA VIAZI WATEGEMEA KUPATA ZAIDI MWAKA HUU TOFAUTI NA MWAKA JANA

NJOMBE

Na chrispiny kalinga


Wakazi na Wakulima waWilaya ya Njombe katika Kata yaLuponde Mkoani Njombe wamezungumza na waandishi wa habari leo febr 02 juu ya zao la kiazi Mviringo kilichopo katika kata hiyo kwa madai

Aubameyang hatokuwemo katika kikosi kitakacho ikabili Everton kesho?



Kupitia kikao chake na waandishi wa habari mapema hii leo meneja wa klabu ya Arsenal, Arsena Wenger ameonekana kuwakatisha tamaa mashabiki na

Matapeli na Walimu wakuu, wakamatwa Baada ya Matokeo ya Shule Kutoka

Walimu wakuu pamoja na mwananchi alie julikana kwa jina Teacher Patrick amekamatwa kwa kosa la kugushi saini ya afisa elimu wa mkoa wa dar es salaam pamoja na kukutwa na baadhi ya

Mtoto wa Fidel Castro amejiua



Mtoto wa Mwana mapinduzi na Rais wa kwanza wa Cuba Fidel Castro, Fidel Ángel Castro Díaz-Balart, mwenye umri wa miaka 68 amejiua akiwa mji mkuu wa