Saterdag, Februarie 03, 2018

SMS 20+ Za Kufanya Maongezi Yako Na Mwanamke Yavutie




Nimekuwa nikipata request za google kutoka kwa readers wa NESIMAPENZI wakitaka kusoma SMS za kutongoza, SMS za kimapenzi na SMS za mahusiano kiujumla. So leo nimeamua kuandika orodha ya SMS ambazo ukizitumia zitampendeza mwanamke na kutaka kuongea nawe milele.

Ok SMS tulizoziorodhesha hapa si SMS za kutongoza bali zinajaribu kuleta gumzo kwa mwanamke.
Psss! Kwa wale wasomaji wa blog hii kwa

Sababu 6 Kwa Nini Hupaswi Kudeti Mwanamke Asiyependa Gharama


Tokeo la picha la PICHA ZA WALEMBO






Hebu jiweke katika hii hali: uko na mwanamke ambaye ukifika nyumbani tu ashakuandalia kila kitu, hakuulizi kwa nini umechelewa, hajibizani na wewe, hana time ya kukupa vikwazo kwa nini humpatii hela za kwenda kula bata wikendi wala pesa za kumnunulia viatu design latest ama kutaka kujua kila kitu unachofanya unapokuwa mbali na yeye. Yeye lake muhimu ni kukupa penzi ambalo huwezi kulisahau.

Raha ilioje hii?

Utajuaje Kama Girlfriend Wako Anakupenda? Dalili Na Ishara Zote Tunazo




Unaweza kuwa na girlfriend kwa muda mrefu na usiweze kujua kama anakupenda au la. Wanawake wengine wanaweza kujifanya girlfriend wazuri kumbe wanakutumia. Na pia unaweza kuwa na girlfriend halisi ambaye anakupenda kuanzia juu mpaka chini.
Kama mwanaume, unapaswa kujua ishara zote ambazo

Njia 9 Unazohitaji Kutumia Kumtongoza Mwanamke Ambaye Hamko Ligi Moja Naye

Jinsi ya kutongoza na mapenzi


Ni mwanamke ambaye akiingia mahali kila kitu kinasimama na kumuangalia yeye. Kila akipita watu wanamkodolea macho ya kuingiwa na tamaa. Kila anapotembea unajiskia dunia yote ikikuzunguka kichwani. Kiufupi ni mwanamke mrembo unayemzimia kiasi cha kuwa unashindwa kumtongoza. [Soma: Mapenzi na sababu 9 za kwa nini watu hupenda]

Mambo 25 ya kufanya unapokuwa na mpenzi wako ili akupende zaidi na asikuache daima..

Tokeo la picha la PICHA ZA WALEMBO 1. Mshike kiuno chake

2. Ongea nae

3. Changieni mawazo kwa pamoja, na siri zenu

Makamu wa Rais aguswa na Cover ya wimbo wa Nandy na Aslay


Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa na wasanii Nandy na Aslay.

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana jioni aliwakaribisha nyumbani kwake wasanii wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’

mdomo wazi Tambwe



AULI ya Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, aliyedai kwamba atafurahi zaidi kama straika wake Emmanuel Okwi atafunga mabao 30 msimu huu,

Jokate afunguka kuanzisha familia mwaka huu


Jokate Mwegelo

MWANAMITINDO ambaye ni kada wa CCM, Jokate Mwegelo baada ya kuanika kuwa mwaka huu ni sahihi kuingia kwenye maisha ya ndoa, ameibuka tena na kuanika kuwa 2018 ni

Mrema awatolea uvivu UKAWA


Mwenyekiti wa chama cha TLP Lyatonga Augustino Mrema amefunguka na kusema kuwa UKAWA hawampendi wala hawamtaki ndiyo maaana walifanya kila

Mume aliyeweka pilipili kwenye nguo ya mkewe aadhibiwa

Mahakama moja wilayani Lira nchini Uganda imemuhukumu mwanamume kifungo cha siku 40 kutumikia jamii baada ya kupatikana na hatia ya kupaka pilipili nguo ya ndani

WastaraAitaji maombi kwaajili ya kuanza safari ya kwenda India kesho kwa matibabu


Wastara Juma.

BAADA ya gazeti hili kuandika habari yake kwa mara ya kwanza akiomba msaada wa matibabu ya mguu wake, hatimaye staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amekamilisha kiasi cha shilingi milioni 37 alizokuwa akihitaji na kesho (Jumapili) anatarajia kuondoka nchini kuelekea kwenye

Magufuli awatunuku 197


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewatunuku kamisheni maofisa wanafunzi 197 wa Jeshi la

Rais Magufuli Amwapisha Mwanasheria Mkuu Wa Serikali


Rais Magufuli leo amemwapisha Dk Adelardus Kilangi  kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Paul Ngwembe kuwa