Saterdag, Februarie 03, 2018

Mambo 25 ya kufanya unapokuwa na mpenzi wako ili akupende zaidi na asikuache daima..

Tokeo la picha la PICHA ZA WALEMBO 1. Mshike kiuno chake

2. Ongea nae

3. Changieni mawazo kwa pamoja, na siri zenu


4. Mpe jaketi lako au mkoti wako wakati upo nae

5. Mpige kiss taratibuuu

6. Mvute taratibu, mkumbatie,mweke kifuani na cheka naee

7. Mkaribishe au mwalike sehemu ambayo we utakuwepo

8. Mkaribishe sehemu ambayo utakuwepo na marafiki wako pamoja

9. Cheka nae, piga picha na yeye pamoja

10. Mpige kiss kwenye lips zake 

Pia mnunulie vitu vidogo vidogo ambayo pia vinamaana kubwa sana,kama maua

11. Mnunulie vitu na wala usimwambie yeye ndo akununulie vitu

12. Usimdanganye kwa kitu chochote

13. Mpeleke sehemu ambayo yeye anapenda

14. Mjulie hali kwa kumtumia message za asubuhi na umtakie asubuhi njema na umwambie jinsi gani unavyomkumbuka

15. Kuwa mahali ambapo anakuitaji. Na pia kuwa hata kama hakuitaji. Hivyo atakuwa anakuwaza 

16. Mkumbatie wakati wa baridi na yeye atakushika pia

17. Kama mpo pembeni mkumbatie na mbusu

18. Kama mnaangalia televishen au movie mkumbatie karibu na wewe na mweke kifuani mwako.

19. Mnapokuwa pamoja usimwambie aondoke hata kama ni kwa matani na usije ukajifanya unahasira

20. Unapokuwa unatembea nae mshike mkono

21. Unapokuwa nae katika bustani weka kichwa chake kwenye kifua chako na pia mkumbatie kwa mda mrefu iwezekanavyo.

22. Mpigie simu au mtumie message za kumtakia usiku mwema

23. Mbembeleze anapokuwa analia na mfute machozi.

24. Tembea nae kwa mda mrefu wakati wa usiku

25. Kila mara mkumbushe jinsi gani unavyompenda
NOTE na kikubwa zaidi kila siku usisahau kumuombea baraka za mungu


Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking