Dinsdag, Februarie 06, 2018

Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni


Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamtwa na Jeshi la Polisi nchini humo.

Dk Slaa: Sijaja Tanzania kuapishwa kuwa balozi




Balozi mteule, Dk Willibrod Slaa  amesema amekuja nchini kwa ajili ya kushughulikia usajili wa Hospitali ya CCBRT.

Nassari ashtakiwa kwa kesi ya shambulio

Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kujibu shtaka la shambulio.

HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA AMESEMA


Polisi nchini Maldives imemkamata Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu nchini humo huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea kuwa katika hali mbaya kwenye nchi hiyo iliyoko katika bahari ta Hindi.

Prof. Palamagamba Amesema Magufuli anamamla ya Zanzibar


Waziri wa katiba na sheria Profesa. Palamagamba Kabudi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ana mamlaka yote ya

CCM yazungumzia kutekwa diwani wa CHADEMA



Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka amefunguka na kusema kuwa CCM hakihusiki kivyovyote vile na kutekwa kwa mgombea wa Udiwani wa CHADEMA Kata ya

Maandag, Februarie 05, 2018

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya February 6

Serikali Kuendelea Kuvifungia Vyuo Vinavyovunja Sheria


SERIKALI imeendelea kudhibiti ubora wa elimu nchini kwa kuvichukulia hatua vyuo na shule zinazobainika kukiuka taratibu za

wabunge watambua jipu


Na Veronica Simba, Dodoma
Wabunge walio katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini pamoja na wale wa Mikoa ya Morogoro, Iringa na Pwani,

RC, SENDEKA AMTUMBUA MKUU WA SHULE LUDEWA,



Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh.Christopher Ole Sendeka amemvua cheo cha ukuu wa shule na kumtaka ahamishwe katika shule hiyo mara moja mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Manda Oraph Mwinuka wilayani Ludewa kutokana na mwalimu huyo kushindwa kusimamia vyema ujenzi wa madarasa, Daharia pamoja na kushuka kwa ufaulu katika shule hiyo.

ZARI APEWA SIFA NA MMILIKI WA......


Zari ni mwanamke ambaye anapenda kujiheshimu na kujijari kwa namna moja au nyingine ndio maana leo nikaona vyema kukuletea mbele yako umtizame jinsi alivyo na unyenyekevu .  zari is a woman who likes to behave and kujijari in one way or another that is why today I saw better bring your presence umtizame how he and simplicity.

LISSU KATEMBELEWA NA EU



Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe.

IKULU YOTE YAAMIA KUPUMZISHA MWILI


Rais Dkt akiweka udongo katika kaburi la Mwanasiasa mkongwe, Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo, katika Makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam


Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru.


DAR: Mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru yamefanyika ktk Makaburi ya Kinondoni ambapo Rais Magufuli ameongoza jopo la waombolezaji > Mzee Kingunge alifariki ktk hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipata matibabu baada ya kung’atwa na mbwa

Chrispiny kalinga blog