Maandag, Februarie 05, 2018

IKULU YOTE YAAMIA KUPUMZISHA MWILI


Rais Dkt akiweka udongo katika kaburi la Mwanasiasa mkongwe, Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru leo, katika Makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam


Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru.


DAR: Mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru yamefanyika ktk Makaburi ya Kinondoni ambapo Rais Magufuli ameongoza jopo la waombolezaji > Mzee Kingunge alifariki ktk hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipata matibabu baada ya kung’atwa na mbwa

Chrispiny kalinga blog

Geen opmerkings nie:

Plaas 'n opmerking