Dinsdag, Februarie 06, 2018

WILAYANI LUDEWA WAMSINDIKIZA KWA MINOFU NA ZAWADI MKUU WA SHULE,,



MKUU WA SHULE ALIYE TUMBULIWA AAGWA KWA KEKI NA MINOFU MIZULI,,,


Brother, Joseph John Akiwaaga Watumishi wenzake,Wanafunzi pamoja na Wageni walioshiriki tukio hilo Jana,
Huyu ndie Mkuu mpya wa Shule ya Sekondari Montfort Brother, Masini

Waziri Mwigulu: “Mikoa ya Kaskazini inaongoza kwa wahamiaji haramu”


Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba amelitaka jeshi la polisi kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa na kwamba taasisi hiyo ndiyo inayoshughulika na haki za watu na wasipofanya kwa uadilifu yapo madhara makubwa kwa jamii na kutoka kwa wahalifu.

Bombardier Nyingine na Boeing 787 Kutua Nchini Julai Mwaka Huu


Ndege mbili; moja aina ya Bombardier na nyingine kubwa Boeing 787 yenye uwezo wa kubeba abiria 262 zilizonunuliwa na serikali, zinatarajiwa kuwasili nchini Julai mwaka huu.

Mahakama yaagiza Nabii Titto apime upya akili


MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe Isanga mkoani Dodoma ili kujiridhisha kama ana matatizo ya akili.

Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni


Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamtwa na Jeshi la Polisi nchini humo.

Dk Slaa: Sijaja Tanzania kuapishwa kuwa balozi




Balozi mteule, Dk Willibrod Slaa  amesema amekuja nchini kwa ajili ya kushughulikia usajili wa Hospitali ya CCBRT.

Nassari ashtakiwa kwa kesi ya shambulio

Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kujibu shtaka la shambulio.

HAKUNA ALIYE JUU YA SHERIA AMESEMA


Polisi nchini Maldives imemkamata Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu nchini humo huku mgogoro wa kisiasa ukiendelea kuwa katika hali mbaya kwenye nchi hiyo iliyoko katika bahari ta Hindi.

Prof. Palamagamba Amesema Magufuli anamamla ya Zanzibar


Waziri wa katiba na sheria Profesa. Palamagamba Kabudi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ana mamlaka yote ya

CCM yazungumzia kutekwa diwani wa CHADEMA



Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Prof. Anna Tibaijuka amefunguka na kusema kuwa CCM hakihusiki kivyovyote vile na kutekwa kwa mgombea wa Udiwani wa CHADEMA Kata ya