Woensdag, Februarie 28, 2018

Linah aweka wazi aina ya mwanaume anayemtamani kuwa nae

Msanii wa Bongo Fleva Linah Sanga maarufu kama 'Ndege Mnana' amekuwa miongoni mwa wanawake wachache wanaovutiwa kimahaba na wanaume wenye rangi ya ngozi nyeusi tofauti na wengine wanavyochagua watu wa kuwa nao katika mahusiano ya kimapenzi.

Vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini havijawekwa kwa nia ya kulididimiza taifa

Korea Kusini inadai kwamba vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Korea Kaskazini havikuwekwa kwa nia ya kulididimiza taifa hilo bali kulisaidia.

Hii ndio idadi ya wanaume waliyowahi ku-date na Linah

Msanii wa Bongo Fleva, Linah ameamua kuweka wazi kwa kutaja idadi ya wanaume ambao alishawahi kudate nao tangu awe maarufu huku akishindwa kukumbuka wanaume ambao alikuwa nao kipindi hicho kabla ya kupata jina.

Yanga kwa mara ya kwanza yapata ushindi Mtwara

Kwa mara ya kwanza katika historia, Yanga imefanikiwa kupata ushindi kwenye ardhi ya Mtwara ikicheza dhidi ya Ndanda FC baada ya kuifunga 2-1 kwenye mchezo wa VPL uliochezwa uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Zimbabwe: Kamisheni ya Amani na Maridhiano yaanza kusikiliza tuhuma za ukatili na mauaji

Kamisheni ya amani na maridhiano nchini Zimbabwe,(NPRC),leo imeanza kusiliza tuhuma za waathrika wa vitendo vya kikatli na mauaji vilivyotekelezwa nchini humo miaka 30 iliyopita wakati wa utawala wa Robert Mugabe.

Nigeria: Raia 1,130 wakombolewa

Takriban raia 1,130 wamekombolewa na washukiwa 37 wa kundi la wanamgambo wa Boko Haram,wameuwa katika mashambulizi yaliyotekelezwa kwa pamoja na vikosi vya majeshi ya Cameroon na Nigeria,kuzunguka jimbo la ziwa Chad.

(MPYA) SIMULIZI (MAISHA): ULIMWENGU WA KUTISHA 01


































Chrispiny kalinga blog

Simulizi Mix Entertainment-Video Ad.


































Chrispiny kalinga blog

Kiss Daniel - Yeba [Official Video]


































Chrispiny kalinga blog

Upasuaji Wa Kihistoria Wafanyika Moi Kwa Mafanikio

Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa  Muhimbili  (MOI) kwa kushirikiana na Madaktari wa Hosipitali ya BLK  India jana  wamefanya upasuaji maalum wa mgongo kwa kutumia matundu (Minimal Invasive Spine Surgery) kwa mgonjwa aliyedhoofika uti wa mgongo.

Atiwa Mbaroni kwa Tuhuma za Kumbaka Mtoto wa Miaka Minne

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, linamshikilia Soli Mkanzabe (24), mkazi wa mtaa wa Nyegezi kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka minne (jina limehifadhiwa) na kumsababishia majeraha na maumivu makali katika sehemu za siri

Naibu Waziri Mavunde Aagiza Wakurugenzi Kupandishwa Kizimbani Jijini Mwanza....Sababu Ziko Hapa

Khalfan Said, Mwanza
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Antony Mavunde,

Kilichosababisha Mavunde na Biteko kufanya ziara mkoani Shinyanga

Na Mathias Canal, Shinyanga

Naibu Waziri wa wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde jana 27 Februari 2018 wametinga Mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi ya