Sondag, Junie 17, 2018

Breaking News: Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO, Vyuo vya Ufundi na Vyuo vya Elimu ya Kati kwa mwaka 2018


Wanafunzi 70,904 waliohitimu kidato cha nne mwaka jana wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi na vya elimu ya kati kwa mwaka 2018, huku wengine 21,808 waliokuwa na sifa za kuchaguliwa wakiachwa.

mubashara blog +255753121916

OTTILIA MFIKWA HUYU HAPA AUCHANA ULIMWINGU KILA KONA

Tizama video ya mwimbaji wa injili kutoka njombe hii hapa live bila chenga
mubashara blog +255753121916

OTTILIA KUTOKA NJOMBE AULETA MKOA MPYA

NJOMBE 
Na chrispin kalinga 

Mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili  Anaye julikana kwa jina la Ottilia Mfikwa katika wilaya ya njombe mkoani njombe amezungumza na chombo chetu cha habari juu ya

Sondag, Junie 10, 2018

WAPIGA DEBE KERO MAFINGA MJINI



 PICHA YA MTANDAONI

Iringa -Mafinga. na Mwandishi wetu.

Wasafili mkoani iringa katika stand kuu ya mafinga mjini wawalalamikia watu wanao wapokea kwa kuwanyang'anya mabegi yao na kuyaalibu wakiwa wanawasili standhapo na huwapelekea kuhalibu mali zao.

habari za magazeti leo hizi hapa


Waziri Tizeba Aagiza Kukamatwa Kiongozi Wa AMKOS Aliyefuja Milioni 23


Na Mathias Canal-WK, Singida
Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Mrakibu wa polisi Wilaya ya Iramba ASP Magoma Mtani kumkamata aliyekuwa mwenyekiti wa Bodi ya Chama cha ushirika (AMKOS) Msai.

Trump akataa kutia saini tamko la pamoja mkutano wa G7


Mkutano wa kilele wa nchi zenye utajiri wa viwanda G7 umemalizika kwa hali ya  kitisho kipya cha vita vya kibiashara Jumamosi(09.06.2018)wakati rais Trump ghafla alipokataa kutia saini taarifa ya pamoja.

Juma Nature Awaponda Wasanii Chipukizi......."Wakongwe tumesharudi, hatuwezi kukubali "


Msanii mkongwe na miongoni mwa waasisi wa muziki wa BongoFleva, Juma Nature amefunguka na kuwaonya wasanii wa sasa kuacha tabia ya kuigana na kubweteka katika kufanya kazi zao kwa kuwa kitendo hicho kinapelekea kuua muziki.

Donderdag, Junie 07, 2018

Naibu Spika Amkingia Kifua Waziri Mkuu Kuujibia Waraka Wa KKKT

Siku moja baada ya Msajili wa Vyama kuiandikia barua Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)  kukanusha waraka walioutoa wakati wa Pasaka, Mbunge wa Vunjo, James Mbatia ameitaka Serikali kutoa kauli kuhusiana na hilo.

Waziri Mkuu: Tuna Kazi Kubwa Kuelimisha Jamii Kuhusu Fistula

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna kazi kubwa kuhakikisha jamii inafikishiwa ujumbe kuhusu tatizo la fistula na athari zake kwa afya ya mama na uchumi kwa ujumla.

Madaktari Wasema Puto Lililo Tumboni Mwa Kigogo wa Escrow Limeisha Muda Wake na Linatakiwa Kutolewa

Jopo la madaktari lililomfanyia uchunguzi, Mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Habinder Seth, limebaini kuwa, puto lililopo tumboni mwa mshtakiwa huyo, linatakiwa kuondolewa.