Walimu wakuu pamoja na mwananchi alie julikana kwa jina Teacher Patrick amekamatwa kwa kosa la kugushi saini ya afisa elimu wa mkoa wa dar es salaam pamoja na kukutwa na baadhi ya
Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa deni la taifa limeweza kuongezeka kwa asilimia 168% ndani ya
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hana maneno ya kutosha kubeba uzito wa simanzi zake kwa Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombali Mwiru.
Dkt Kikwete ameeleza kuwa Mzee Kingunge ni moja ya walezi wake waliomlea kisiasa na wametoka mbali.
“Nimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mzee Kingunge Ngombare Mwiru.Sina maneno ya kutosha kubeba uzito wa simanzi zangu.Mzee huyu ni moja ya walezi wangu kisiasa. Tumetoka nae mbali. Natoa pole zangu kwa familia na Watanzania wote. Alale kwa amani,“ ameandika Dkt. Kikwete katika ukurasa wake wa Twitter
Rais John Magufuli amewapa pole Majaji kwa changamoto wanazokumbana nazo pindi wanapo shughulikia mashitaka yanayopelekwa na serikali na kuahidi kulifanyia kazi