Donderdag, Mei 10, 2018
Woensdag, Mei 09, 2018
Yleez Tz ASEMA AJA KIVINGINE

Msanii wa mziki wa bongo fleva Yleez Tz anaye kuja kwa kasi ya ajabu katika kundi la wanamziki chipukizi amekiambia chombo chetu cha habari cha mubashara kuwa anazidi kufanya vizuri katika sakata la utunzi wa nyimbo kwaajili ya watanzania.
Na Yleez Tz amesema kuwa licha ya changamoto anazo kutana nazo lakini anazimudu anaamini siku moja atakuwa kama wasanii wengine wanao kimbizana katika mziki.
mubashara blog +255753121916
WAFANYA BIASHARA NJOMBE WAKIMBILIA KWA WATEJA
Picha na Yohana Ndone
NJOMBE
Na Nimrod Mgoye.
Serikali ya kijiji cha idundilanga katika Wilayani Njombe Mkoani Njombe ikumbukwe kwamba miezi kadhaa iliyo pita ilitoa tamko kwa wafanyabiashara wadogowadogo katika soko la njia panda ya
magereza waondoke na kuelekea katika soko mpya lililopo katika mtaa wa joshoni.
Tanzania yafungua ubalozi wake Israel, Mahiga aomba Israel ifungue ubalozi Dar es Salaam

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt. Augustine Mahiga amezindua rasmi ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Israel na kuitaka Israel nayo iharakishe kufungua ofisi ya ubalozi nchini Tanzania.
Al-Shabab wampiga hadi kifo mwanamke aliyedaiwa kuolewa mara 11 Somalia

Mwanamke mmoja amepigwa na mawe mpaka kifo nchini Somalia baada ya mahakama moja inayoendeshwa na kundi la wanamgambo wa kiislamu, al-Shabab kumkuta na hatia ya kuolewa na wanaume wengi.
Ebola: Kenya yachukua hatua baada ya watu wawili kuthibitishwa kuwa na Ebola DR Congo

Serikali ya Kenya imeimarisha doria katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta na vituo vingine vya mpakani baada ya visa vya ugonjwa wa Ebola kuripotiwa kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Sondag, Mei 06, 2018
Visa vya uhalifu wa kingono vyapitukia India

Polisi upande wa Mashariki mwa India katika jimbo la Jharkhand wamearifu kuwa wamemkamata mtuhumiwa mkuu anayehusishwa na unyanyasaji wa kingono na mauaji ya binti mdogo .
Teken in op:
Plasings (Atom)