Sondag, Augustus 26, 2018

Breaking: Mama Mzazi Wa Sugu Afariki Dunia

Mama mzazi wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Desderia Mbilinyi amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

CHADEMA, ACT Wazalendo Wasusia Uchaguzi wa Marudio Tanga

Vyama vya CHADEMA, ACT Wazalendo na NCCR Mageuzi vimetangaza kugomea kushiriki uchaguzi wa udiwani katika Kata ya Mwanzage jijini Tanga kwa kile walichoeleza ni kuwepo kwa zuio la mahakama juu ya uchaguzi huo.

Njia ya kupanga uzazi kwa kutumia Kalenda/ Kuzuia Mimba Kwa Njia ya Kalenda


Kutana na mimi Chrispin Kalinga kwa msaada zaidi ili siku ukutanapo na mwenzi wako usipate mimba kwa matumizi sahihi ya karenda lakini pia kama unawasiwasi na siku ya kupata mimba nitafute kwa mashart nafuu kwa msaada zaidi nipigie sim au tuma ujumbe mfupi wa maandi kwa simu: 0753121916
ndani ya masaa 24 kuwa huru nipo kwaajili yako......
Hii ni njia ambayo mwanamke anaweza kutumia kupanga uzazi bila kutumia dawa au kitu cha aina yoyote.

Mpinzani wa Obama kwenye urais afariki Dunia


SENETA John McCain, shujaa wa vita vya Vietnam aliyehudumu kwa muda mrefu kama seneta nchini Marekani na aliyewahi kuwania urais, amefariki dunia akiwa na miaka 81.

Muro afanya ziara ya kushtukiza, abaini raia tisa wa kigeni wasio na vibali


Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amefanya ziara ya kushtukiza  katika barabara ya mchepuko Arusha Bypass katika eneo la muungano Makumira  na kubaini uwepo wa vitendo vinavyoashiria ukiukwaji wa taratibu za kazi na haswa katika kazi zinazofanywa na raia kutoka nje.

Mbosso afichua uhusiano wa wimbo wake na kuachwa kwa Diamond na Zari


Msanii wa muziki Bongo, Mbosso amesema si kweli kwamba wimbo wake unaokwenda kwa jina la Nimekuzoea alimuimbia Diamond Platnumz baada ya kuachwa na mzazi mwenzie, Zari The Bosslady.

Saterdag, Augustus 25, 2018

JIFUNZE NAMNA YA KUTUMIA KUEPUKA KUPATA MIMBA AU KUSABABISHA MIMBA

Image result for LOVE
Kwa msaada zaidi au kama hujaelewa unauwezo wa kunitafuta kwa sim nambari:0753121916 kwa mashart nafuu.usiogope masaa 24 nipo kwaajili yako 

Tumia Chandurua kwa kumlinda Mama na Mtoto.
By chrispin kalinga.,,,,,

Kuna njia kuu tatu za asili ili kupanga namna ya kupata mtoto au kutopata:-

JINSI AMBAVYO UNAWEZA KUTUNZA PENZI LAKO KWA MWENZI WAKO


ASANTE
Wiki iliyopita tulijifunza namna ambavyo unaweza kuanzisha mahusiano na mtu yeyote unaye mpenda....mimi naitwa chrispin kalinga ambaye nakusogezea kila wiki lakini unayo nafasi ya kunitafuta kwa simu yangu ya mkononi :0753121916

Mbosso Akabidhiwa Hati ya Mjengo

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Mbosso amefunguka kuzungumzia nyumba ambazo walijengewa na Mkubwa Fella wakati yupo Yamoto Band. Nyumba hizo ni nne za wasanii wote ambao walikuwa Yamoto Band zipo Mbande Kisewe, Chamazi jijini Dar es salaam.

Zitto awajia juu wanaoponda muonekano wa wahudumu wa ATCL

Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amekerwa na Watanzania wanaoponda muonekano wa wahudumu wa kike wa shirika la ndege la Tanzania (ATCL).

NEC yatangaza uchaguzi mdogo jimbo la Liwale

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale, Lindi kufutia kujiuzulu kwa alieyekuwa Mbunge wake kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Zuberi Mohamed Kuchauka.

Hali ya Waziri wa Maliasili na Utalii hii hapa

Hali  ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla, aliyelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), inazidi kuimarika na juzi alifanya mazoezi ya kutembea umbali wa kilometa nne kwa kutumia saa moja na dakika 23.

Hali ya Ommy Dimpoz ni mbaya, arudishwa hospitalini Afrika Kusini

Msanii wa Bongo Fleva, Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amerudishwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ kwa ajili ya matibabu baada ya hali yake kuendelea kutokuwa vizuri licha kutolewa hospitalini huko siku chache zilizopita.