Vrydag, September 07, 2018

Rapper Budden amchimba mkwara Eminem.


Image result for joe budden
Na Nimrod Process#

Rapa Joe Budden amemvaa tena Eminem kupitia kipindi chake anachokiweka mtandaoni cha ‘Joe Budden Podcast’, akidai kuwa sio saizi yake na kumtishia kipigo. Budden ameendelea kujibu mapigo

Baba Levo aswekwa lumande.

Image result for baba levo

Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Craython
Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo
aliwasili mapema leo katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Mfawidhi Kigoma kusikiliza hukumu ya kesi
inayomkabili.

RC Njombe atoa jibu nono kwa wananchi

Image result for ole sendeka






Na Nimrod Mgoye.
Wananchi mkoani Njombe wameiomba serikali kuongeza nguvu ya usimamizi kwa wakandarasi wa miundombinu  hususani ya barabara zinazojengwa mkoani NJOMBE yenye thamani ya Zaidi ya bilioni 400  ili kuwezesha miradi hiyo kujengwa kwa kiwango na kukamilika kwa wakati.

NAFASI ZIPO WAZI WAHI MAPEMA MUHURA WA PILI WA MASOMO UNAANZA 01 OCT



No automatic alt text available.

Sambamba na hilo Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Ekros anakutangazia nafasi za masomo yafuatayo kwa wewe mtanzania 

Gonjwa Jipya Laibuka....Serikali Yatoa Ufafanuzi

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imesema, mpaka sasa haijafahamika kinachosababisha ugonjwa wa Lupa, ambao umeua mtu mmoja huku 10 wakiwa wanafuatiliwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

Uhamiaji: Wachungaji Acheni Kualika Wahubiri Kutoka Nje Ya Nchi


Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Afisa uhamiaji katika jijini la Dodoma Edwin Mwasota amewataka wachungaji na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo mkoani Dodoma kuacha tabia ya kualika wachungaji kutoka nje ya Tanzania na kufanya mahubiri katika jiji hilo bila kibali Maalum.

TCRA yataka wateja wa DSTV, AZAM na ZUKU waliolipishwa kuwasilisha taarifa zao

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imewataka wateja visimbuzi vya DSTV, ZUKU na AZAM kutuma taarifa zao zinazoonesha na kuthibitisha kuwa wamekuwa wakilipia chaneli za ndani jambo ambalo ni kinyume na sheria.

Kuna hatari kubwa ukimchunguza mpenzi wako


MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao licha ya imani waliyokuwa wamejijengea kuwa wamepata wapenzi wanaowapenda kwa dhati.

Donderdag, September 06, 2018

MAGAZETI YA LEO 7/9/2018



TACOGA: Utandawazi umeharibu maadili kwa wanafunzi wa vyuo vikuu


Na James Timber, Mwanza
Chama cha Ushauri wa wanafunzi vyuoni (TACOGA) wametakiwa kuwaelimisha viongozi katika ngazi mbalimbali ya uongozi vyuoni, lengo likiwa kuepukana na changamoto za wanafunzi wanaofeli kutokana na kupungukiwa maadili mema pamoja na utandawazi.

Dawa Za Nywele Zinazosababisha Uvimbe Wa Kizazi Kwa Wanawake


Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.

Rais Magufuli aamuru Mwenyekiti wa Kijiji, Ofisa Mtendaji Nata wahojiwe Polisi

 Rais John Magufuli, amemuagiza Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, kuwakamata na kuwahoji Mwenyekiti wa Kijiji cha Nata na Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, baada ya kutuhumiwa kula fedha za mapato za kijiji hicho.

Saterdag, September 01, 2018

WAZIRI WA NISHATI DK.MEDARD KALEMANI ATEMA CHECHE MKOANI NJOMBE



 Waziri wa Nishati DK.MEDARD KALEMANI amewataka Viongozi na wadau wa nishati kuwasaidia wananchi hususani wakazi wa mkoa wa Njombe kutunza